Uyo zeruzeru utakuta hata pesa ya bangi hana .Eti Hawezi mrekodia kwa Milioni Kumi.
Dah! Kumbe kuna watu Milioni 10 sio Pesa?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo zeruzeru utakuta hata pesa ya bangi hana .Eti Hawezi mrekodia kwa Milioni Kumi.
Dah! Kumbe kuna watu Milioni 10 sio Pesa?!!
Uzuri Homorapa yeye ukimtaja tu umemuongezea umaarufu.....P Funk anacheza ngoma ya Hamorapa bila kujua.
Ukimpiga chura teke....Ukimsema Harmorapa,basi ujue unamuongezea umaarufu!
Msimdanganye, Hamorapa hajui na hatakaa ajue muziki. Mimi nimekaa katika industry ya Muziki kwa over 16 yrs, hana hata sifa moja ya kuwa mwanamuziki. Ajaribu vichekesho au ajifunzi ukwezi wa minazi auze madafu.Dogo akaze tu atatusua ila aache kutoa ngoma kama taarabu kusodoana
Umenifurahisha sana,jamaa wa font fendHajamfikia mpiga tumba mmoja hivi mkazi wa Magogoni.