Fredd benghalensis
Member
- Mar 11, 2017
- 11
- 16
Aisee, Muheshimu Sana mtu ana hustle Sana but siku moja atafanikiwa tuu.
Wana JF mnakumbuka diamond alvokuaga anataniwa kuhusu mdomo wakee!!?? Lakin Leo Hakuna mtu anaezungumzia tena hiloo, Sawa Sawa na harmo rappa akitia juhudi zaidi akafanikiwa nani atamcheka tena..
Ninachoamin kwa hapa Bongo ukiamua kufanya kitu baas watu watakukatisha tamaa ili ushindwe na sijui kwa Nini, na ndivyo inavotokea kwa harmorapa.
Enzi hizo harmonize mwenyewe alkua hana swaga alshiriki bongo star search huko kwao na aliimba vibaya kabisaa, na Boss wake Diamond ashaipostigi akiwaambia watu wasikate tamaa majaji wa shindano hilo walimdiss Lakin leoo wanamheshimuu.
Tuamin kuwa juhudi zetu na ujasiri utatufikisha tunapotaka.. Na hata siku moja usimdharau alieko chini kwa muda huu hujui kesho atakua wapii...
Harmorappa kazaa utatusua tuu waje kukuomba "selfie"