P Funk: Nilikuwa namkebehi tu Harmorapa, hata kwa milioni 10 siwezi kumrekodia

Dogo akaze tu atatusua ila aache kutoa ngoma kama taarabu kusodoana
Msimdanganye, Hamorapa hajui na hatakaa ajue muziki. Mimi nimekaa katika industry ya Muziki kwa over 16 yrs, hana hata sifa moja ya kuwa mwanamuziki. Ajaribu vichekesho au ajifunzi ukwezi wa minazi auze madafu.
 
Mil 10 usawa huu wa anko aiache kisa ni ya hamorapa? Mavii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…