P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Akihojiwa kwenye kipindi cha "on point" kuhusu video ilisambaa akionekana binti akifanya mapenzi na kufanishwa na binti yake anaitwa Paula aliezaaa na msanii wa bongo movies, Kajala, Producer P-Funk amesema binti huyo anaeonekana sio mwanae Paula.

"Umeona nimekaa kimya ujue yule sio binti yangu. Yaani angekuwa mwanangu ungeona video mbili , ya binti yangu na ya yule jamaa nae akiwa analiwa, yaani watu wanazibua mtaro".
Your browser is not able to display this video.
 


Akili ikiungua bangi lazima utaona vitu wasivyo ona wenzako.....Yule ni binti yake kabisa (Paula).
 
Anaongea kwakua hajui sheria Amuulize yule wakiwalan Ambae alimfumania mkewake nayeye akaamua kumlawiti mgoni wake kilicho mkuta Alifungwa kifungo cha maisha mala 2 Apo ndio angejua serekal Aiangalia jina Yeye Amlee Mwanae ktk misingi bora Lkn Kakiwa mcharuko watu watakararua Mtoto Mdogo Kila dk Anauza sura Instaglam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…