P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

Anasema tu. Sasa yeye na Kajala nani anamjua mtoto zaidi ya mama. Anajifaragua tu. Simple amtafuta Kajala halafu amuulize je ni mwanetu ama akipata jibu amtafute huyo mtu amle mfereji ndio ataijua serikali vyema. Amuulize yule jamaa aliyemfira mande jamaa aliyemfumania na mkewe. Mke yupo uraiani jamaa kala life behind bars. Nimempuuza na kiki yake ya kitoto.
 
Hata mie nawashangaa wajamaa wanavyo mkweza Majani. Yeye mwenyewe anajua ataumia akifanya upuuzi kama huo.
 
Huyu jamaa aje mwenyewe pekee yake bila wapambe nampiga ngumi anaanguka chali kwenye mchanga
[emoji23][emoji23][emoji23] well done is better than well said muulize mjomba wako jose chamillione atakupa story za huyu mzee majani
 
Bado ana kariri Zama , watu hawafikiri hata sheria. za mitandao zinasemaje na tumebanwa wapi hawajui , unakwenda jela kirahisi tu kwa kuposses pornographic materials hata Kama kwenye simu na hata Kama mwenye picha hajulikani,
Halafu mtu anazungumzia majani atoe video akimlawiti mtu au sijui companion yake ikifanya tukio
Kwenye nchi za kikatili Kama south africa , watu hawaropoki ovyo maana hasira zako zinaweza kutumika against you na zikakuumiza ,think about katika vugu vugu hili labda watu wabaya watupie mtandaoni video ya jamaa akilawitiwa halafu atokee mtu aseme ni yeye ndo alikuwa analawitiwa na group la majani na akaenda mahakamani , hajapotea huyo majani?
Wewe jamaa akili yako ya kitoto sana. Kua uyaone.

Wakati WCB beef lao na Ruge limekolea mpaka kufikia stage ya Babu Tale kuvujisha video ya Nandy na Billnass ulijua hata imevujaje ??

Uliiona kwenye page yoyote ya Babu Tale au kumsikia akiliobgelea hilo ??? Hata walipoitwa polisi kina Carrymastory, Nandy, Billnass, huyo Babu Tale aliitwa ???

Try to think.
 
Hata wale ambao walikuwa suspected still babu tale hakuwemo Ila still we unatuaminisha aliyevujisha ni babu tale 😀😀 we jamaa akili yako huwa ina kinyesi cha mbuzi
 
Wewe jamaa akili yako ya kitoto sana. Kua uyaone.

Wakati WCB beef lao na Ruge limekolea mpaka kufikia stage ya Babu Tale kuvujisha video ya Nandy na Billnass ulijua hata imevujaje ??

Uliiona kwenye page yoyote ya Babu Tale au kumsikia akiliobgelea hilo ??? Hata walipoitwa polisi kina Carrymastory, Nandy, Billnass, huyo Babu Tale aliitwa ???

Try to think.
Babutale kaivujisha aliipata vipi,wakati video ili rekodiwa na Nandy na Billnass?

Sasa Babutale yeye aliipata vipi au Nandy na Billnass walimpa Babutale?
 
Back
Top Bottom