Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Ndio maana nakwambia jiulize kwanini Diamond alifuta hiyo picha wakati aliruhusiwa kupost ??Sijamsikia Majani kuongea wakati hiyo picha ikipostiwa,ila hata mimi nilijiuliza kwa nini alikaa kimya ila baada ya kutizama ile Sam Misago nikajilizisha kumbe baba alimruhusu Diamond hayo ya akina Juma Lukole siyafahamu.
Yaani Majani amachane Jose Chameleon,alafu amwache Diamond amchezee mwanae,huyo sio Majani ninaye mjua mimi kwani jamaa hajui kukaa na kitu rohoni ukimuuzi atakwambia au sometimes mtazinguana.