P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

Nimeiona hiyo video..lakini kama kenyewe lakini kama sio jamaa anakapiga chukuchuku kabisa bila ata limao wala ndimu kwa hasira kama malaya aliyekunywa bia zangu.
 
Aache biti za kikuda mtoto wake mwenyewe anapenda kuishi kistaa anavaa sketi fupi hadi shuleni mapaja yote nje unafikiri wajanja watakaacha
7df71084dacdcea7323c79ab10b21d24.jpg
Sifa kwake aliyenyoosha mgongo,
 
Unaweza usikubali ,lakini na wewe pia ukaishia kupata kilichompata binti
Naposema sintokubali namaanisha sintokubali kweli. Kwahiyo mawazo ya uoga Kama yako kwangu hayana nafasi.
Alafu unaonesha wewe ni muoga muoga
 
Mikwala haimjengi mtoto zaid ya kumtia kiburi, bora angekaa kimya tu sasa nnavyowajua wabongo asubiri kuuona mkanda mzimaa
 
Majini namkubali sana ana misimamo yake lengo ni kuilinda familia yake, shida ni huyo kajala amekua kiunzi kinacho mkwamisha majani, alishamkana kutimuweka mwanae kwenye socila media karibu, majani ana ufatherhood kama wangu,
 
Kukataa tatizo halipo,siyo njia sahihi ya kutatua tatizo. Kwa tunao mfahamu majani tunajua nini kinaendelea au kinaenda kutokea kwa yule mtimua vumbi la Congo.
 
"Umeona nimekaa kimya ujue yule sio binti yangu. Yaani angekuwa mwanangu ungeona video mbili , ya binti yangu na ya yule jamaa nae akiwa analiwa, yaani watu wanazibua mtaro".

Na tuone sasa hiyo video ya pili, mkwara mbuzi mamamaee!!
 
Back
Top Bottom