P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

46377d18066121cb3263393df0b5a531.jpg
shingo zote ndefu, maxkio yao yote yamelala, na huo mtindo hapo Kwa kichwa ni uleule mpaka meno jaman x Kwa mfanano huo
Heleni pia waache wakatae tu maana inauma kusema ukwel
DUH KWELI VIDEO NYINGINE INAKUJA ...MBONA NI YEYE KABISA
 
Msanii huyo amedai video hiyo sio ya mtoto wake na ingekuwa ni ya mtoto wake kweli asingezungumza na watu bali angemtafuta huyo mwanaume aliyemfanyia vile na yeye kumfanyia vile kisha kurusha video yake akiwa anamfanyia hivyo
Amedai mtoto wake yupo shule amabzo zina masharti makali na hawezi kufanya hivyo japo amekiri mama yake Kajala ni kweli anamu expose kwenye mazingira yanayomuharibu
 
Mtoto wa nyoka siku zote ni nyoka tu hawez kuwa mjusi so awe ni yeye au sio yy lkn dogo amerithi toka kwa parents
 
Mtoto amekutana na Dushe la haja.Watadanganya na hatudanganyiki.Lakini watu wabayaaaaa katoto hata nyama hakina wanakashughulikia hivyo hivyo
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha "on point" kuhusu video ilisambaa akionekana binti akifanya mapenzi na kufanishwa na binti yake anaitwa Paula aliezaaa na msanii wa bongo movies, Kajala, Producer P-Funk amesema binti huyo anaeonekana sio mwanae Paula.

"Umeona nimekaa kimya ujue yule sio binti yangu. Yaani angekuwa mwanangu ungeona video mbili , ya binti yangu na ya yule jamaa nae akiwa analiwa, yaani watu wanazibua mtaro".
Ya baba na ya mtoto?
 
Binti mwenyewe kamshinda kaamua kusukumizia malezi kwa kajala ili likitokea baya lawama zibaki kwa mama mtu.
Aisee kuna dingi mmoja kitaa alifanya kama pfunk lakini dogo alipgwa show na house boy wa maza aisee sitaki kukumbuka. Maskini yule jamaa kama yupo hai..
 
Binti mwenyewe kamshinda kaamua kusukumizia malezi kwa kajala ili likitokea baya lawama zibaki kwa mama mtu.
Aisee kuna dingi mmoja kitaa alifanya kama pfunk lakini dogo alipgwa show na house boy wa maza aisee sitaki kukumbuka. Maskini yule jamaa kama yupo hai..
 
Majani hashindwi kichwa kimeungua na bangi.


Ndiyo madhara ya bangi mkuu. Mwaka 2004 London, England....ndege ya American Airlines ikiwa inatoka London kwenda Washington, D.C., abiria walilazimika kumkamata na kumpiga abiria mwenzao kipondo cha nguvu kisa bangi ziliunguza akili yake kama Majani. Wakati ndege iko angani, jamaa bangi zilimchanganya, akawa anajiuliza kwa nini ndege haiendi wakati walishatoka London masaa mawili na kitu kuelekea Marekani, ndipo jamaa akaenda kwenda kufungua mlango ili atoke achukue ndege nyingine. Bangi bwana, ina wenyewe walioungua akili tayari na hawawezi kuishi bila hiyo....kina Majani wanalazimisha tu!
 
Yupo sahihi. Hata Mimi Kama baba binti yangu yupo salama sintakubali kuyaona maumivu au machozi yake
Unaweza usikubali ,lakini na wewe pia ukaishia kupata kilichompata binti
 
Back
Top Bottom