P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

Majani hajawahi kuwa bwegge hata siku moja. Huyo Ray amuuulize Josee Chamelion jinsi alifuatwa Uganda Huko huko akazibuliwa mbele ya Mke na Watoto wake. Sioni ajabu Majani akimmwaga Ubongo huyo fedhuli kwa udhalilishaji aliofanya.
Namuuunga Majani mkono kwa hatua zozote maaana dharau zikizidi sana napo siyo poa.
 
Dharau ni ipi hapo, wewe umewala wangapi?
 
Hizi story za vijiweni kaka! Josee Chameleon,hana walinzi hadi Majani amchape makonde?? Tena Majani apande ndege hadi Kampala,akafanye fujo,then arudi bongo tena kupitia hiyo hiyo airport ya Kampala??

Jamani,mambo mengine tusiwe watumwa,hebu tutumie hata IQ zetu ndogo tulizopewa na Mungu kuwaza nakuchakata mambo! Josee Chameleon ni mtu mkubwa sana Uganda na ana sauti kubwa, tofauti kabisa na Majani huku kwetu Tanzania,kama Majani alimpiga Chameleon,nakuhakikishia, Majani asingetoka Uganda!
Tusubiri Picha la Majani na huyo Bw.Mdogo Vanny hayo mengine yalishapita
 
Majani hajawahi kuwa bwegge hata siku moja. Huyo Ray amuuulize Josee Chamelion jinsi alifuatwa Uganda Huko huko akazibuliwa mbele ya Mke na Watoto wake. Sioni ajabu Majani akimmwaga Ubongo huyo fedhuli kwa udhalilishaji aliofanya.
Namuuunga Majani mkono kwa hatua zozote maaana dharau zikizidi sana napo siyo poa.
Wewe kwenye hii kesi tokea ianze ushamwona Majani akijihangaisha kwenda kituoni ?

Anaye hangaika na hii kesi Kondeboy na Kajala,Majani hana hata time.Kwani yaliyo tokea leo alisha yaongea mara mbili kipindi akihojiwa na Millard na Dizzim ,mpaka kufikia kuongea kwamba Paula kamshindwa,baadae Mama na mwana wakaanza kumkejeli kwenye mitandao.
 
Wahenga walisema Damu ni nzito kuliko Maji! Achana na hizzo stor za Ayo na Dizzim Majan kama Majan achana naye yule, heri angemla kimia kimia lkn siyo kwa ujinga huo hata ungekuwa wewe
 
Hizi story za vijiweni kaka! Josee Chameleon,hana walinzi hadi Majani amchape makonde?? Tena Majani apande ndege hadi Kampala,akafanye fujo,then arudi bongo tena kupitia hiyo hiyo airport ya Kampala??

Jamani,mambo mengine tusiwe watumwa,hebu tutumie hata IQ zetu ndogo tulizopewa na Mungu kuwaza nakuchakata mambo! Josee Chameleon ni mtu mkubwa sana Uganda na ana sauti kubwa, tofauti kabisa na Majani huku kwetu Tanzania,kama Majani alimpiga Chameleon,nakuhakikishia, Majani asingetoka Uganda!
Hivi ni nini sababu ya yeye kuifuta hiyo video ??

Nakumbuka nyuma kidogo, Diamond naye aliwahi kuweka picha ya mtoto wa Majani kwamba ndiye demu wake mpya. Hadi misukule yake ikiongozwa na kina Aristote, Lokole wakaanza kumpost.

Cha kushangaza sijui Majani aliwapiga biti gani 🤣🤣, wote wakafuta halafu wakawa wapole kama maji ya mtungi huku wakijifanya kama hakijatokea kitu yaani 🤣.
 
Wahenga walisema Damu ni nzito kuliko Maji! Achana na hizzo stor za Ayo na Dizzim Majan kama Majan achana naye yule, heri angemla kimia kimia lkn siyo kwa ujinga huo hata ungekuwa wewe
Stori zipi wakati video zipo Dizzim kaongea kwa kinywa chake.

Nimekuuliza umemuona majani ktk siku hizo walizo enda kituo cha polisi?
 
Wewe naye .... kweli....!
Mwanaume wa Kweli huwa anapeleka Mtu Polisi?
Mwanaume unayejielewa ukichokozwa Unamalizana Kimjini mpaka aliyeingia Kingi aombe Pooo! Yaaani umkosee Kalapina, Majani au Dudubaya au Mim Mmteule utegemee nikupeleke Polisi???? Anyway its over braa kumbe najibizana na kivulana hapa!
 
Hivi ni nini sababu ya yeye kuifuta hiyo video ??

Nakumbuka nyuma kidogo, Diamond naye aliwahi kuweka picha ya mtoto wa Majani kwamba ndiye demu wake mpya. Hadi misukule yake ikiongozwa na kina Aristote, Lokole wakaanza kumpost.

Cha kushangaza sijui Majani aliwapiga biti gani 🤣🤣, wote wakafuta halafu wakawa wapole kama maji ya mtungi huku wakijifanya kama hakijatokea kitu yaani 🤣.
Majani ktk mahojiano aliyo yafanya na GBL alimuomba Diamond ampost kwa ajili ya kumpromoti mwanae ktk acc zake za social media,ili kumuongezea umaarufu mwanae ambaye ukiachana na masomo ya sheria anayo chukua anajihusisha na umodo.

So hiyo issue aliiplan yeye mwenyewe Majani.
 
Mwanaye yupi na mbona hajampost yoyote ??
 
Wewe naye .... kweli....!
Mwanaume wa Kweli huwa anapeleka Mtu Polisi?
Mwanaume unayejielewa ukichokozwa Unamalizana Kimjini mpaka aliyeingia Kingi aombe Pooo! Yaaani umkosee Kalapina, Majani au Dudubaya au Mim Mmteule utegemee nikupeleke Polisi???? Anyway its over braa kumbe najibizana na kivulana

Mwanaume wa kweli hawanaga muda wa kufanya vurugu hao ni wavulana wanao kula ugali wa kengele home.
 
Mwanaye yupi na mbona hajampost yoyote ??
Mwanae wa UK Patricia alipewa deal na GSM kutangaza jezi ya Yanga ndiye alipostiwa na Diamond na ndiye wanaye mzungumzia kwenye hiyo video iliyopostiwa na Sam Misago.
 
Sasa kwanini picha ilifutwa na haijapostiwa tena !?

Jamani, let's be honest, Majani ni mkorofi na ni fighter asiyekata tamaa. Labda awe kazeeka.

Majani anawakoromea kila Prof Jay, Chameleon huyo Rayvanny ni nani ??
 
Sasa kwanini picha ilifutwa na haijapostiwa tena !?

Jamani, let's be honest, Majani ni mkorofi na ni fighter asiyekata tamaa. Labda awe kazeeka.
Mkorofi ni kweli lakini kauli kaitoa mwenyewe alitaka mwanae apostiwe,vipi hii nayo unaikataa?

Kufuta sijui makubaliano yao yalikuwa kwa mda gani,ila yeye Majani ndiye aliyeomba mwane kupostiwa.
 
Usiamini maneno anayoongea kwenye media. Majani mambo yake serious anafanya off media.

Kwani wakati wakati Diamond ameppost picha ya hiyo binti yake mara Ghafla akafuta huku na kina Lokole nao wakafuta, ulimsikia Majani kaongea au kuposti ndio ikafutwa ??

Alivyokuja kuhojiwa baada ya muda ndio akasema, Diamond angedata akashindwa kufanya kazi.

Au wakati yupo kwenye vita na Chameleon baada ya kujua Chameleon amevuta pesa ndefu baada filamu huko Hollywood kutumia ngoma yenye beat lake ( Nikusaidiaje ).

Wewe ulimwona anapost mitandaoni au kuongea kwenye media ??

Maana wengi tulikuja kujua kalipwa 100M na Chameleon baada ya BASATA kusema bungeni.
 
Sijamsikia Majani kuongea wakati hiyo picha ikipostiwa,ila hata mimi nilijiuliza kwa nini alikaa kimya ila baada ya kutizama ile Sam Misago nikajilizisha kumbe baba alimruhusu Diamond hayo ya akina Juma Lukole siyafahamu.

Yaani Majani amachane Jose Chameleon,alafu amwache Diamond amchezee mwanae,huyo sio Majani ninaye mjua mimi kwani jamaa hajui kukaa na kitu rohoni ukimuuzi atakwambia au sometimes mtazinguana.
 
Back
Top Bottom