P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

[emoji125][emoji125]Ukiona manyoyaa[emoji125] [emoji125] ......wahuni sio watu wazuri
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha "on point" kuhusu video ilisambaa akionekana benti akifanya mapenzi na kufanishwa na binti yake anaitwa Paula aliezaaa na msanii wa bongo movies kajala.
Producer P funk amesema binti huyo anae onekana sio mwanae Paula.
"Umeona nimekaa kimya ujue yule sio binti yangu yaani angekuwa mwanangu ungeona video mbili , ya binti yangu na ya yule jamaa nae akiwa analiwa yaani watu wanazibua mtaro", sipendi ujinga ujinga kabisa.
heeee kweli uchungu wa mwana ajuae ni mzazi..
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha "on point" kuhusu video ilisambaa akionekana binti akifanya mapenzi na kufanishwa na binti yake anaitwa Paula aliezaaa na msanii wa bongo movies, Kajala, Producer P-Funk amesema binti huyo anaeonekana sio mwanae Paula.

"Umeona nimekaa kimya ujue yule sio binti yangu. Yaani angekuwa mwanangu ungeona video mbili , ya binti yangu na ya yule jamaa nae akiwa analiwa, yaani watu wanazibua mtaro".
Aache mikwara ya kijinga yule ni binti yake na hana la kufanya....lazima ajue makuzi ya mwanae ni mabaya anatakiwa kuchukua hatua...
 
Bwege tu,aliliwa mkewe Kajala na hakufanya lolote,sembuse mwanae?
 
Wewe mwenyewe mbea kilichokutoa povu celebrity forum nini kama sio umbea uliopitiliza viwango.

Kausha mwenyewe kwangu ukijibu najibu
Sinaga muda wa kupoteza na Wambeya! Nikaushie....
 
46377d18066121cb3263393df0b5a531.jpg
shingo zote ndefu, maxkio yao yote yamelala, na huo mtindo hapo Kwa kichwa ni uleule mpaka meno jaman x Kwa mfanano huo
Heleni pia waache wakatae tu maana inauma kusema ukwel
Good analysis
 
Kwahyo hataki mwanae aliwe?atamla yeye?Utoto tu unamsumbua.
 
Back
Top Bottom