Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
-
- #21
Hiyo picha haifai kabisa kufanya ulinganishaji!
... mpiga picha kapiga kutokea upande wa mnaemuita 'GIANT', na, mbaya zaidi, camera yake ilikuwa chini!
Sijui cable yake itakuwajeJamaa futi nane๐๐
Comparison ya urefu sio?,
Au ww unaongelea madaraka?
Yule wa DRC mbona ni giant lakini wanamchezeaJitu haswa...... nadhan viongozi wa zamani (ma Chief) walikua na muonekano huo.Adui inabidi ujipange haswa zaidi ya haswa.
Watakuambia picha haijaonesha walipokanyaga
Yule wa DRC mbona ni giant lakini wanamchezea
Na urefu wote wa Kagame kaishia begani.Rwanda Vs GuineaView attachment 2769998
Picha inajieleza!! Ivi huyu jamaa kabila gani ! Ni Giant kama Mfalme wa babylonia
Kura zianze Nani zaidi?
Mkuu umeuliza swali na kujijibu underneathNani
M nmemaanisha ile ya uso kwa uso๐๐๐๐๐๐ikija kiutawala mambo n mengi.Yule wa DRC mbona ni giant lakini wanamchezea
M nmemaanisha ile ya uso kwa uso๐๐๐๐๐๐ikija kiutawala mambo n mengi.
Congo hakuna serikali.. ndio maana unachezewa na madini yao yanachotwa
Amchezee mama na ushungi wake aone balaa lake
Congo hakuna serikali.. ndio maana unachezewa na madini yao yanachotwa
Amchezee mama na ushungi wake aone balaa lake
yaani Kagame anaonekana ka kilema ๐
Kidogo hii imeballance, mpiga picha anatazamana na walengwa, japo kidogo kalalia kwa Kagame!View attachment 2774149
Vipi kuhusu hii! mpiga picha alikaa upande gan
Hata hii huwezi kuitumia kulinganisha kwa sababu ya ilipo camera!View attachment 2774149
Vipi kuhusu hii! mpiga picha alikaa upande gan