P MAWENGE: Nahamia weusi

P MAWENGE: Nahamia weusi

Kuna hawa jamaa hidary scoda (anajiita ngwair wa II) na selementary.
Nao wanajitahidi ila sio kama akina cado.
selementary na hidary wana wanaweza ile freestyle na sio freestyle battle ila kwa akina cado hapo wanachapa zote tena bila kustack stack

Shida nyingine ya hydary anatumia sana filler word ambalo ni 'mistari hatari' ambalo humsaidi kufikiri mistari inayofuata kitu ambacho kwa cado, fuvu na jaco jeez hukuti wanatumia.

Na ndio maana kuna watu huwa wanahisi cado na toxic labda freestyle zao wanaandika kwa jinsi wanavyotiririka bila kuweweseka.
 
Hii tweet imenifanya nicheke

1636393523681.png
 
Hebu tumsikilize hapa kdg
 
Sasa mkuu Kuna kundi Bora Kama la WEUSI? hao KIKOSI KAZI Wana project gani zinazoeleweka? Wanapiga show ngapi za kuwaingizia pesa
Mbona wanaproject zinazoeleweka Mzee....Wana Ngoma zao Kali Tu kutoka ktk album Yao.....kwenye issue ya show z kuingiza hela. Kuingiza hela kupitia shows Kwa dababy au NBA young boy hakuwafanyi wao ndo wawe Bora kuliko Kendrick Lamar au j cole
 
Mimi nishasema katika carrier ya freestyle hakuna cha ngwair wala godzilla ambao uwezo wao wa freestyle unaweza kuwalinganisha na hiki kizazi cha kina toxic, frege na kado

Hawa madogo lazima tuwape heshima yao nao waone tusisubiri wafe ndio tuwasifie, battle wanazopiga sio za kitoto wanakutana na upinzani mkali tofauti na kizazi cha kina ngwair na freestyle zao zenye weak flow kama chid benz
Hawa madogo wa siku hizi, namkubali zaidi Stanny Rhymes. Uwezo wa kufreestyle huwa unanikumbusha enzi hizo Nikki Mbishi akiwa kwenye peak.

Huwa nenjoy sana battle ambazo MC anamuattack mpinzani wake personally.
 
Hii kitu ili niboa mpaka nkaacha kuwafatilia. Climax bibo pia aliwahi kupita na zote.
Huyo mshenzi aliwahi kuchana XXL karibia lisaa lizima. Ilikua ni session ya jiwe la wiki, ngoma yake ya geto boy ndio ilisimama.

Jamaa anamiliki benki ya mistari
 
Back
Top Bottom