P MAWENGE: Nahamia weusi

Kuna hawa jamaa hidary scoda (anajiita ngwair wa II) na selementary.
Nao wanajitahidi ila sio kama akina cado.
selementary na hidary wana wanaweza ile freestyle na sio freestyle battle ila kwa akina cado hapo wanachapa zote tena bila kustack stack

Shida nyingine ya hydary anatumia sana filler word ambalo ni 'mistari hatari' ambalo humsaidi kufikiri mistari inayofuata kitu ambacho kwa cado, fuvu na jaco jeez hukuti wanatumia.

Na ndio maana kuna watu huwa wanahisi cado na toxic labda freestyle zao wanaandika kwa jinsi wanavyotiririka bila kuweweseka.
 
Hii tweet imenifanya nicheke

 
Hebu tumsikilize hapa kdg
Your browser is not able to play this audio.
 
Sasa mkuu Kuna kundi Bora Kama la WEUSI? hao KIKOSI KAZI Wana project gani zinazoeleweka? Wanapiga show ngapi za kuwaingizia pesa
Mbona wanaproject zinazoeleweka Mzee....Wana Ngoma zao Kali Tu kutoka ktk album Yao.....kwenye issue ya show z kuingiza hela. Kuingiza hela kupitia shows Kwa dababy au NBA young boy hakuwafanyi wao ndo wawe Bora kuliko Kendrick Lamar au j cole
 
Hawa madogo wa siku hizi, namkubali zaidi Stanny Rhymes. Uwezo wa kufreestyle huwa unanikumbusha enzi hizo Nikki Mbishi akiwa kwenye peak.

Huwa nenjoy sana battle ambazo MC anamuattack mpinzani wake personally.
 
Hii kitu ili niboa mpaka nkaacha kuwafatilia. Climax bibo pia aliwahi kupita na zote.
Huyo mshenzi aliwahi kuchana XXL karibia lisaa lizima. Ilikua ni session ya jiwe la wiki, ngoma yake ya geto boy ndio ilisimama.

Jamaa anamiliki benki ya mistari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…