P MAWENGE: Nahamia weusi

Hizi mbona ni shobo za waziwazi mchana kweupee.
That’s why namkubali nikki mbishi hajawahi kuwa fake, kama shida ni anataka mahusiano mazuri na DC nikki wapili angefanya kama NASH MC aende kwa DC wapige stories basi ila sio kutoa track kabisa.
Nikki mbishi ndio definition ya real MC ameendelea kuwepo kwenye misimamo yake since day one
 
Chokolate mc hahahaaaa .... Jina gumugumu ndio matamu kama Wandava cleck, Manzese crew, Big Dog Pose, Manduli mobb, Ganstars With Matatizo, LWP, HardBlasters .... Majina magumumagumu Computer Pose kwanza unajiuliza hilo pose lipoje
Majina magumu ku represent mziki mgumu yanakua na flavour ebu cheki kama Snoop doggy lilivyo fit, huwezi fananisha na lil baby au dababy
 
Sikilizeni vizuri ... Hata hao weusi kawapiga umo Buu nako yupo weusi !!? IBRA de hustler !! Nako to nako wako wapi !?? Mabeef ya kalolenni kundi lao LA awali job makini lipo !!?? Anataka kupanda ndege na weusi lakini kuna wengi wapo njee ya hiyo ndege ..sikilizeni acheni mhemuko wa haraka sikia wote aliowataja na kawazungumzia nini.
 
Niki mbishi ni msanii mzuri ila ni mtu wa shari sana nilifurahi sana siku ambayo stereo alipost picha akiwa na nikki wapili, nikki mbishi alitoa comment positively tofauti na ambavyo amekua akim-treat nikki wa pili

Halafu hiyo ni nyimbo ambayo content yake bado ni code, labda kama wewe umei decode na kupata jibu kua anahamia weusi kweli
 
Mawenge mshamba
nimeelewa kwanini nikki mbishi hakujibu dis ya huyu dogo..
 
Mawenge mshamba
nimeelewa kwanini nikki mbishi hakujibu dis ya huyu dogo..
Unajuaje kwamba hata ile diss haikuja kama njia ya ku catch attention kama ambavyo nafikiria atakua amefanya kwenye ngoma hii?

Au we una amini ile diss ya mawenge ilikua coincidence na sio kwamba ni ku catch attention za mashabiki?
 
Mawenge mshamba
nimeelewa kwanini nikki mbishi hakujibu dis ya huyu dogo..
Dogo mtamu sana shida anapuliza na kung'ata. Angekuwa anapiga project zake kama Dizasta Vina angekuwa vizuri sana ..kwa kizazi hichi Dizasta yupo vizuri kuliko wengi sana.
 
Unajuaje kwamba hata ile diss haikuja kama njia ya ku catch attention kama ambavyo nafikiria atakua amefanya kwenye ngoma hii?

Au we una amini ile diss ya mawenge ilikua coincidence na sio kwamba ni ku catch attention za mashabiki?
Hilo nalo limo ....
 
Dogo mtamu sana shida anapuliza na kung'ata. Angekuwa anapiga project zake kama Dizasta Vina angekuwa vizuri sana ..kwa kizazi hichi Dizasta yupo vizuri kuliko wengi sana.
Hahahaha kama nimekuelewa una maanisha anavyo switch kwa kuimba commercial?
 
Hakuna code zozote hapo, na ngoma haina maana nyingine yoyote zaidi ya hicho kinachosikika. P ana tatizo moja kuwa anapenda sana kutuuzia hype! Ni kama vile jamaa haamini kuwa hapo alipo ndipo anapostahili kuwa, anaitamani sana mainstream. Kwa hiyo anaamini kupitia hii ngoma atazungumzwa na kupata interviews...
 
Hahahaha kama nimekuelewa una maanisha anavyo switch kwa kuimba commercial?
Chambichambi muhimu.. Hizi tunasikiliza wagumu... Mtu kama MexCortez eti humsikiii mainstream uje usikie mziki huu bongo nyoso ...jipendeze uvute dough rudi piga kazi.
 
Umeniwahi ndio nilikuwa nachapa....hahahaaaa
 
unyama sana humu
 
Unajuaje kwamba hata ile diss haikuja kama njia ya ku catch attention kama ambavyo nafikiria atakua amefanya kwenye ngoma hii?

Au we una amini ile diss ya mawenge ilikua coincidence na sio kwamba ni ku catch attention za mashabiki?
Anafeli sasa kina rapcha hao watamwacha ameanza kuwataja ovyo wasipo respond ataanza kuwadis wasanii wote kutafuta att kama kaka yake mbishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…