Phamarcist
JF-Expert Member
- Apr 18, 2021
- 219
- 479
Anachofanya p mawenge kwa sasa hata rapcha anaweza fanya msimpe sifa sana huyo mtamwaribu bureDogo mtamu sana shida anapuliza na kung'ata. Angekuwa anapiga project zake kama Dizasta Vina angekuwa vizuri sana ..kwa kizazi hichi Dizasta yupo vizuri kuliko wengi sana.
Diss ya mawenge kwa nikki mbishi ilikua ni real bro. Sikiliza ngoma ya Miss 2020 (kikosi kazi).Unajuaje kwamba hata ile diss haikuja kama njia ya ku catch attention kama ambavyo nafikiria atakua amefanya kwenye ngoma hii?
Au we una amini ile diss ya mawenge ilikua coincidence na sio kwamba ni ku catch attention za mashabiki?
Hata mimi mwenyewe napenda mfumo huu afu kwangu mimi naona kama ni multi talentChambichambi muhimu.. Hizi tunasikiliza wagumu... Mtu kama MexCortez eti humsikiii mainstream uje usikie mziki huu bongo nyoso ...jipendeze uvute dough rudi piga kazi.
Umeongea point sana bro. Binafsi mi napenda kuwasikiliza underground sana, wana madini yakutosha wale jamaa, flow zao kali.Unajua shida ipo apa, kuna baadhi ya wasanii wa rap wanafanya underground hiphop alaf wanataka kukaa mainstream. Mziki wa weusi ni mainstream hiphop wakati huo mziki wa wasanii wa TAMADUNI ni underground hiphop wakati huo kuna baadhi ya wasanii wa tamaduni wanataka kushindana na weusi hili swala haliwezekani.
Ukiwa msanii wa rap unatakiwa kujua position yako kisha tengeneza pesa kupitia position yako. SHOUT-OUT kwa dizasta vina amejua position yake na anaitumia vyema, kuna wasanii walikua USA kama kina marehemu sean p wanajulikana kwa wachache wanaofatilia mziki wao na hivyohivyo kwa ata kwa bongo tutawajua sisi tunaofatilia hiyo kitu
Umeandika kitu kikubwa sana mkuu, ila hii ngoma ya mawenge unaiweka kwenye category ganiUnajua shida ipo apa, kuna baadhi ya wasanii wa rap wanafanya underground hiphop alaf wanataka kukaa mainstream. Mziki wa weusi ni mainstream hiphop wakati huo mziki wa wasanii wa TAMADUNI ni underground hiphop wakati huo kuna baadhi ya wasanii wa tamaduni wanataka kushindana na weusi hili swala haliwezekani.
Ukiwa msanii wa rap unatakiwa kujua position yako kisha tengeneza pesa kupitia position yako. SHOUT-OUT kwa dizasta vina amejua position yake na anaitumia vyema, kuna wasanii walikua USA kama kina marehemu sean p wanajulikana kwa wachache wanaofatilia mziki wao na hivyohivyo kwa ata kwa bongo tutawajua sisi tunaofatilia hiyo kitu
Upande wa story taller katika hip hop mpaka sasa sijaona ka dizasta na songa, rapcha lissa II ali haribu.Rapcha ni ana sound ki mumble rappa, vina anavitafutia mbali, story kama ile ingesimuliwa na dizasta, p mawenge au songa ingenoga sana
Yule ni hip hop commercialHivi nyauloso anaimba mziki gani?
Kina toxic ni wabaya sana kwa freestyle lakini wakiandika hazibambiUmeongea point sana bro. Binafsi mi napenda kuwasikiliza underground sana, wana madini yakutosha wale jamaa, flow zao kali.
Kuna dogo nmemfahamu kupita CRB anajiita Toxic, anajua sana yule dogo.
Flow za kina shaurin seneta, verteller dizasta vina, bro wa mbeya (mbeya chuma boy) [emoji1672][emoji1672]
Dizasta ni mnyama sana, songa katika kipengele cha mistari ya kuchekesha humtoiUpande wa story taller katika hip hop mpaka sasa sijaona ka dizasta na songa, rapcha lissa II ali haribu.
Naona tuwape nafasi, wanavitu kichwani ngoma yake ya mwisho kifo yupo na one six,. Ni ngoma kali akituliza kichwa toxic anawezaKina toxic ni wabaya sana kwa freestyle lakini wakiandika hazibambi
Mawenge nilimkubali sana kwenye ngoma zinazo husu mapenzi, kuna ngoma kama sitokuacha, i miss u, ungenambia penzi la siri na kuna zingine kaimba ki fasihi zaidi kama pesa sabuni ya roho.. na kuna jamaa huyu wakujiita shaulini yuko vizuri japo ndo hivyo ngoma zake code zake zipo open sanaDizasta ni mnyama sana, songa katika kipengele cha mistari ya kuchekesha humtoi
Mawenge naye kwenye baba msaliti kafanya unyama sana kwa story telling
Umeandika kitu kikubwa sana mkuu, ila hii ngoma ya mawenge unaiweka kwenye category gani
Mainstream au underground (hardcore)
So far bado namuona mawenge alichokifanya hajatofautiana na wasanii wengine wa underground misingi, maana hata songa naye kaimba commercial, nikki naye hivyo hivyo na still hawajatoka kwenye misingi ya hip hop
mkuu ile ni verse tu, ulifuatilia interviews zao wakiwa kikosi kazi walivyokua wanahojiwa kuhusu bifu lao?Diss ya mawenge kwa nikki mbishi ilikua ni real bro. Sikiliza ngoma ya Miss 2020 (kikosi kazi).
Kuna verse P mawenge kapita nayo "Ulitugombanisha P na nikki/"...
Huyu Jamaa bana jina linamuharibia sana image hajui tuMaoni yangu ni kuwa. Si lazima uwe na majina ya ajabu ajabu ndipo uonekane wewe ndio mwana hip hop mkali.
P.MAWENGE
WEUSI
KIKOSI KAZI
[emoji41]
Shaulin senetor anakuambiaMawenge nilimkubali sana kwenye ngoma zinazo husu mapenzi, kuna ngoma kama sitokuacha, i miss u, ungenambia penzi la siri na kuna zingine kaimba ki fasihi zaidi kama pesa sabuni ya roho.. na kuna jamaa huyu wakujiita shaulini yuko vizuri japo ndo hivyo ngoma zake code zake zipo open sana
Hapo sasa nmekupata mkuu, binafsi Kikosi kazi nawakubali sana na nisingependa kuvunjika kwa kundi soon namna hii, kwa mtu yoyote anaependa na kufatilia bongo Hip Hop kikosi kazi lazima aielewe vyema, nnacho ona wangetulia na kupiga kazi za maana track zao zote ni kali balaa.mkuu ile ni verse tu, ulifuatilia interviews zao wakiwa kikosi kazi walivyokua wanahojiwa kuhusu bifu lao?
Mimi nasema haikua serious kwasababu moja, kwanza ngoma ambayo nikki alimchana mawenge ilitoka miezi karibia mitano (kama sikosei) kabla ya diss ya mawenge (nadhani ilitoka pamoja kwenye moja ya album yake nimeisahau jina)
Kwa maana hiyo p mawenge aliisikiliza hiyo ngoma na punch line aliyochanwa akaipotezea, lakini baadaye miezi kadhaa kupita mchizi akaja na futi 6