P MAWENGE: Nahamia weusi

P MAWENGE: Nahamia weusi

Unajua shida ipo apa, kuna baadhi ya wasanii wa rap wanafanya underground hiphop alaf wanataka kukaa mainstream. Mziki wa weusi ni mainstream hiphop wakati huo mziki wa wasanii wa TAMADUNI ni underground hiphop wakati huo kuna baadhi ya wasanii wa tamaduni wanataka kushindana na weusi hili swala haliwezekani.
Ukiwa msanii wa rap unatakiwa kujua position yako kisha tengeneza pesa kupitia position yako. SHOUT-OUT kwa dizasta vina amejua position yake na anaitumia vyema, kuna wasanii walikua USA kama kina marehemu sean p wanajulikana kwa wachache wanaofatilia mziki wao na hivyohivyo kwa ata kwa bongo tutawajua sisi tunaofatilia hiyo kitu
 
Dogo mtamu sana shida anapuliza na kung'ata. Angekuwa anapiga project zake kama Dizasta Vina angekuwa vizuri sana ..kwa kizazi hichi Dizasta yupo vizuri kuliko wengi sana.
Anachofanya p mawenge kwa sasa hata rapcha anaweza fanya msimpe sifa sana huyo mtamwaribu bure
 
Unajuaje kwamba hata ile diss haikuja kama njia ya ku catch attention kama ambavyo nafikiria atakua amefanya kwenye ngoma hii?

Au we una amini ile diss ya mawenge ilikua coincidence na sio kwamba ni ku catch attention za mashabiki?
Diss ya mawenge kwa nikki mbishi ilikua ni real bro. Sikiliza ngoma ya Miss 2020 (kikosi kazi).
Kuna verse P mawenge kapita nayo "Ulitugombanisha P na nikki/"...
 
Chambichambi muhimu.. Hizi tunasikiliza wagumu... Mtu kama MexCortez eti humsikiii mainstream uje usikie mziki huu bongo nyoso ...jipendeze uvute dough rudi piga kazi.
Hata mimi mwenyewe napenda mfumo huu afu kwangu mimi naona kama ni multi talent

Kwasababu sio rahisi ukarap ngumu ikawa ngoma kali afu pia u-rap commercial ba iwe kali vile vile

Mfano ngoma ya nikki mbishi nimekumiss ni moja ya ngoma tamu sana, au hata ile ya pamoja ya kikosi kazi mamelody nayo imetulia
 
Nimetoa mfano kwa dizasta, ye anajua anafanya mziki wa aina gani ndio maana hana complain na media ila anadeal na sisi wateja wake wachache. Pia hawazi kushindana na mainstream rappers sababu anajua sio position yake. Mfano mwingine ZAIID aliimba wowowo ika hit ila watu walipenda nyimbo yeye hawakumjua tuliomjua ni sisi mashabiki wa mziki husika hivyo ata iweje p the mc hawezi pata mashabik wapya zaidi yetu sisi so atulia tu.
MSANII HACHAGUI KUINGIA MAINSTREAM ILA MAINSTREAM INACHAGUA MSANII
 
Unajua shida ipo apa, kuna baadhi ya wasanii wa rap wanafanya underground hiphop alaf wanataka kukaa mainstream. Mziki wa weusi ni mainstream hiphop wakati huo mziki wa wasanii wa TAMADUNI ni underground hiphop wakati huo kuna baadhi ya wasanii wa tamaduni wanataka kushindana na weusi hili swala haliwezekani.
Ukiwa msanii wa rap unatakiwa kujua position yako kisha tengeneza pesa kupitia position yako. SHOUT-OUT kwa dizasta vina amejua position yake na anaitumia vyema, kuna wasanii walikua USA kama kina marehemu sean p wanajulikana kwa wachache wanaofatilia mziki wao na hivyohivyo kwa ata kwa bongo tutawajua sisi tunaofatilia hiyo kitu
Umeongea point sana bro. Binafsi mi napenda kuwasikiliza underground sana, wana madini yakutosha wale jamaa, flow zao kali.
Kuna dogo nmemfahamu kupita CRB anajiita Toxic, anajua sana yule dogo.
Flow za kina shaurin seneta, verteller dizasta vina, bro wa mbeya (mbeya chuma boy) [emoji1672][emoji1672]
 
Umeandika kitu kikubwa sana mkuu, ila hii ngoma ya mawenge unaiweka kwenye category gani

Mainstream au underground (hardcore)

So far bado namuona mawenge alichokifanya hajatofautiana na wasanii wengine wa underground misingi, maana hata songa naye kaimba commercial, nikki naye hivyo hivyo na still hawajatoka kwenye misingi ya hip hop
 
Rapcha ni ana sound ki mumble rappa, vina anavitafutia mbali, story kama ile ingesimuliwa na dizasta, p mawenge au songa ingenoga sana
Upande wa story taller katika hip hop mpaka sasa sijaona ka dizasta na songa, rapcha lissa II ali haribu.
 
Umeongea point sana bro. Binafsi mi napenda kuwasikiliza underground sana, wana madini yakutosha wale jamaa, flow zao kali.
Kuna dogo nmemfahamu kupita CRB anajiita Toxic, anajua sana yule dogo.
Flow za kina shaurin seneta, verteller dizasta vina, bro wa mbeya (mbeya chuma boy) [emoji1672][emoji1672]
Kina toxic ni wabaya sana kwa freestyle lakini wakiandika hazibambi
 
Upande wa story taller katika hip hop mpaka sasa sijaona ka dizasta na songa, rapcha lissa II ali haribu.
Dizasta ni mnyama sana, songa katika kipengele cha mistari ya kuchekesha humtoi

Mawenge naye kwenye baba msaliti kafanya unyama sana kwa story telling
 
Kina toxic ni wabaya sana kwa freestyle lakini wakiandika hazibambi
Naona tuwape nafasi, wanavitu kichwani ngoma yake ya mwisho kifo yupo na one six,. Ni ngoma kali akituliza kichwa toxic anaweza
 
Dizasta ni mnyama sana, songa katika kipengele cha mistari ya kuchekesha humtoi

Mawenge naye kwenye baba msaliti kafanya unyama sana kwa story telling
Mawenge nilimkubali sana kwenye ngoma zinazo husu mapenzi, kuna ngoma kama sitokuacha, i miss u, ungenambia penzi la siri na kuna zingine kaimba ki fasihi zaidi kama pesa sabuni ya roho.. na kuna jamaa huyu wakujiita shaulini yuko vizuri japo ndo hivyo ngoma zake code zake zipo open sana
 
Umeandika kitu kikubwa sana mkuu, ila hii ngoma ya mawenge unaiweka kwenye category gani

Mainstream au underground (hardcore)

So far bado namuona mawenge alichokifanya hajatofautiana na wasanii wengine wa underground misingi, maana hata songa naye kaimba commercial, nikki naye hivyo hivyo na still hawajatoka kwenye misingi ya hip hop

Ngoma hii ya mawenge tuiweke underground (hardcore) kama kawaida yake na mashabiki wake tutabaki walewale
 
Diss ya mawenge kwa nikki mbishi ilikua ni real bro. Sikiliza ngoma ya Miss 2020 (kikosi kazi).
Kuna verse P mawenge kapita nayo "Ulitugombanisha P na nikki/"...
mkuu ile ni verse tu, ulifuatilia interviews zao wakiwa kikosi kazi walivyokua wanahojiwa kuhusu bifu lao?

Mimi nasema haikua serious kwasababu moja, kwanza ngoma ambayo nikki alimchana mawenge ilitoka miezi karibia mitano (kama sikosei) kabla ya diss ya mawenge (nadhani ilitoka pamoja kwenye moja ya album yake nimeisahau jina)

Kwa maana hiyo p mawenge aliisikiliza hiyo ngoma na punch line aliyochanwa akaipotezea, lakini baadaye miezi kadhaa kupita mchizi akaja na futi 6, kwa hiyo ni kama ilikua planned kitu hicho kitokee

Tofauti na diss tract ya azma dhidi ya joh makini ambayo ilikuja baada ya joh kuzishusha credit punch za azma kwenye ile diss ya kikosi kazi. Azma aliposikia hiyo interview ya joh makini, kesho yake akatoa diss track kunguru mweusi
 
Maoni yangu ni kuwa. Si lazima uwe na majina ya ajabu ajabu ndipo uonekane wewe ndio mwana hip hop mkali.
P.MAWENGE
WEUSI
KIKOSI KAZI
[emoji41]
Huyu Jamaa bana jina linamuharibia sana image hajui tu
 
Mawenge nilimkubali sana kwenye ngoma zinazo husu mapenzi, kuna ngoma kama sitokuacha, i miss u, ungenambia penzi la siri na kuna zingine kaimba ki fasihi zaidi kama pesa sabuni ya roho.. na kuna jamaa huyu wakujiita shaulini yuko vizuri japo ndo hivyo ngoma zake code zake zipo open sana
Shaulin senetor anakuambia

Ukanda wa kusini ndo niliko sina shaka ,awilo yupo nae ni kidume cha mbeya ila chaka.../
 
mkuu ile ni verse tu, ulifuatilia interviews zao wakiwa kikosi kazi walivyokua wanahojiwa kuhusu bifu lao?

Mimi nasema haikua serious kwasababu moja, kwanza ngoma ambayo nikki alimchana mawenge ilitoka miezi karibia mitano (kama sikosei) kabla ya diss ya mawenge (nadhani ilitoka pamoja kwenye moja ya album yake nimeisahau jina)

Kwa maana hiyo p mawenge aliisikiliza hiyo ngoma na punch line aliyochanwa akaipotezea, lakini baadaye miezi kadhaa kupita mchizi akaja na futi 6
Hapo sasa nmekupata mkuu, binafsi Kikosi kazi nawakubali sana na nisingependa kuvunjika kwa kundi soon namna hii, kwa mtu yoyote anaependa na kufatilia bongo Hip Hop kikosi kazi lazima aielewe vyema, nnacho ona wangetulia na kupiga kazi za maana track zao zote ni kali balaa.
 
Back
Top Bottom