Thas trabo
Senior Member
- Mar 5, 2021
- 130
- 239
Pitia na hii video mkuu "world freestyle session round 2" hawa jamaa kwenye freestyle wako vizuri pia though ilikua ni mashindano ila mpaka ili ni bidi kumfatilia mmoja mmojaHapana mkuu sijawahi msikia ila ngoja nitamtafuta nione mautundu yake
Ni kweli mkuu, sema kilicho ibeba zaidi ngoma ya kanisa ujumbe wake ni mzito sana ukiwasikilizisha wafia dini wanaweza tamani wakunyongeSonga kwenye hisia za moyoni alipita na beat vizuri
Hapo songa ali fit, yaani kuna nyimbo unaweza kuiona kabisa kua hii ngoma ilitakiwa iwe kali zaidi ya hapa ila kilichokuja kupunguza radha ni beat, mfano nyimbo ya kanisa ya dizasta naona kama haiendani na flow
Ni mchanaji... Wa Bongo Fleva.Hivi nyauloso anaimba mziki gani?
That’s why namkubali nikki mbishi hajawahi kuwa fake
HahaaahaaNi kweli mkuu, sema kilicho ibeba zaidi ngoma ya kanisa ujumbe wake ni mzito sana ukiwasikilizisha wafia dini wanaweza tamani wakunyonge
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi mbona ni shobo za waziwazi mchana kweupee.
That’s why namkubali nikki mbishi hajawahi kuwa fake, kama shida ni anataka mahusiano mazuri na DC nikki wapili angefanya kama NASH MC aende kwa DC wapige stories basi ila sio kutoa track kabisa.
Nikki mbishi ndio definition ya real MC ameendelea kuwepo kwenye misimamo yake since day one
[emoji23][emoji23][emoji23]Mzinguzi tu afu kapotea au ndo game limemficha anatoa ngoma zinaishia kuskilizwa na producer tu
Ok Apo sawaHilo jina la MAWENGE ni abbreviation of
M. Msanii
A. Awapaye
W. Watu
E. Elimu
N. Na
G. Ghani
E. Elekezi
Ipo pia kirefu cha mawenge kwa kiingereza
Hahahaha ninayo kitambo mkuu.Hahaaahaa
Sema ujumbe umesimama sana, kuna nyingine mascular feminist naona ameiachia jana mwanzo ilikua inapatikana kwa walio nunua album pekee so kama hukubahatika kuisikia unaweza kuicheki ipo youtube
Sure Songa kwenye hisia aliua. Ila Dizasta always anakuwaga kama anaflow kwa kupishana na beat. Kinachombeba ni huwa ni maudhui mazito.Songa kwenye hisia za moyoni alipita na beat vizuri
Hapo songa ali fit, yaani kuna nyimbo unaweza kuiona kabisa kua hii ngoma ilitakiwa iwe kali zaidi ya hapa ila kilichokuja kupunguza radha ni beat, mfano nyimbo ya kanisa ya dizasta naona kama haiendani na flow
Exactly kabisa.....nikajua una (UMIMWI) upungufu wa mistari mwilini mkuu kumbe nawe mjanjaHahahaha ninayo kitambo mkuu.
Dear girls, dear women ni sisi wakina kaka, wakina baba, wanaume machizi wenu/...
Tunaongea kutoka upande wa juu, upande wa mbali, upande uliowekwa na asili yetu/..
Kinachowaponza ni tafsiri batili ya neno msela. Hii kitu walishaizungumzia Wateule.namfananisha nikki na baadhi ya vijana wenzangu wa zamani waliondekeza usela mavi halafu walipofika umri wa 30s wakajikuta wamepigwa gape la kimaisha na sisi wenzao ambao tuliacha itikadi hizo tukaamua kuwa serious na maisha.
sasa huyo rolemode wako nikki ni mmoja ya watu wa aina hiyo. maisha yamemchapa na umri wake ushaenda.
Dizasta Vina ni noma nimeamua nimtag kabisa maana kashakua member hapa jfSure Songa kwenye hisia aliua. Ila Dizasta always anakuwaga kama anaflow kwa kupishana na beat. Kinachombeba ni huwa ni maudhui mazito.
Nowadays ni Nyauloso[emoji23]Aliacha kujiita bonge la nyau akajiita nani?
Songa yuko vizuri sana ila pia kwenye uandishi japo huwa nashindwa kuelewa kwenye nyimbo yake "NDEGE" alikua na maana nyingine au ndo alizungumzia ndege kama maudhui ya nyimboSure Songa kwenye hisia aliua. Ila Dizasta always anakuwaga kama anaflow kwa kupishana na beat. Kinachombeba ni huwa ni maudhui mazito.
Nimejizatiti mkuu kuitumikia serikali ya good music yenye misingi bora ya hip hopExactly kabisa.....nikajua una (UMIMWI) upungufu wa mistari mwilini mkuu kumbe nawe mjanja
Ndege bado sijaisikiliza. Ila Tamaduni Muziki wako vizuri kwa ujumla.Songa yuko vizuri sana ila pia kwenye uandishi japo huwa nashindwa kuelewa kwenye nyimbo yake "NDEGE" alikua na maana nyingine au ndo alizungumzia ndege kama maudhui ya nyimbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi virapper na vikanyagia kwenda chooni...Nowadays ni Nyauloso[emoji23]
Kuna mahali nilisikia story eti alikuwa anajiita Bonge la Nyau sababu ya dem. Alipoachwa ndo akarudia jina lake. Though ni story za mtaa tu ambazo huenda zimekuwa inspired na ule wimbo wa Vice versa (ft Barnaba)