P MAWENGE: Nahamia weusi

P MAWENGE: Nahamia weusi

Hapana mkuu sijawahi msikia ila ngoja nitamtafuta nione mautundu yake
Pitia na hii video mkuu "world freestyle session round 2" hawa jamaa kwenye freestyle wako vizuri pia though ilikua ni mashindano ila mpaka ili ni bidi kumfatilia mmoja mmoja
 
Songa kwenye hisia za moyoni alipita na beat vizuri

Hapo songa ali fit, yaani kuna nyimbo unaweza kuiona kabisa kua hii ngoma ilitakiwa iwe kali zaidi ya hapa ila kilichokuja kupunguza radha ni beat, mfano nyimbo ya kanisa ya dizasta naona kama haiendani na flow
Ni kweli mkuu, sema kilicho ibeba zaidi ngoma ya kanisa ujumbe wake ni mzito sana ukiwasikilizisha wafia dini wanaweza tamani wakunyonge
 
That’s why namkubali nikki mbishi hajawahi kuwa fake

namfananisha nikki na baadhi ya vijana wenzangu wa zamani waliondekeza usela mavi halafu walipofika umri wa 30s wakajikuta wamepigwa gape la kimaisha na sisi wenzao ambao tuliacha itikadi hizo tukaamua kuwa serious na maisha.

sasa huyo rolemode wako nikki ni mmoja ya watu wa aina hiyo. maisha yamemchapa na umri wake ushaenda.
 
Ni kweli mkuu, sema kilicho ibeba zaidi ngoma ya kanisa ujumbe wake ni mzito sana ukiwasikilizisha wafia dini wanaweza tamani wakunyonge
Hahaaahaa

Sema ujumbe umesimama sana, kuna nyingine mascular feminist naona ameiachia jana mwanzo ilikua inapatikana kwa walio nunua album pekee so kama hukubahatika kuisikia unaweza kuicheki ipo youtube
 
Hizi mbona ni shobo za waziwazi mchana kweupee.
That’s why namkubali nikki mbishi hajawahi kuwa fake, kama shida ni anataka mahusiano mazuri na DC nikki wapili angefanya kama NASH MC aende kwa DC wapige stories basi ila sio kutoa track kabisa.
Nikki mbishi ndio definition ya real MC ameendelea kuwepo kwenye misimamo yake since day one
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikki Mbishi?
 
Hahaaahaa

Sema ujumbe umesimama sana, kuna nyingine mascular feminist naona ameiachia jana mwanzo ilikua inapatikana kwa walio nunua album pekee so kama hukubahatika kuisikia unaweza kuicheki ipo youtube
Hahahaha ninayo kitambo mkuu.
Dear girls, dear women ni sisi wakina kaka, wakina baba, wanaume machizi wenu/...
Tunaongea kutoka upande wa juu, upande wa mbali, upande uliowekwa na asili yetu/..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wachanaji wa Bongo Fleva ndo walivyo.
Kwanza toka aache kujiita Bonge la Nyau ndo kazima... Sijui nini kilitokea
Aliacha kujiita bonge la nyau akajiita nani?
 
Songa kwenye hisia za moyoni alipita na beat vizuri

Hapo songa ali fit, yaani kuna nyimbo unaweza kuiona kabisa kua hii ngoma ilitakiwa iwe kali zaidi ya hapa ila kilichokuja kupunguza radha ni beat, mfano nyimbo ya kanisa ya dizasta naona kama haiendani na flow
Sure Songa kwenye hisia aliua. Ila Dizasta always anakuwaga kama anaflow kwa kupishana na beat. Kinachombeba ni huwa ni maudhui mazito.
 
Hahahaha ninayo kitambo mkuu.
Dear girls, dear women ni sisi wakina kaka, wakina baba, wanaume machizi wenu/...
Tunaongea kutoka upande wa juu, upande wa mbali, upande uliowekwa na asili yetu/..
Exactly kabisa.....nikajua una (UMIMWI) upungufu wa mistari mwilini mkuu kumbe nawe mjanja
 
namfananisha nikki na baadhi ya vijana wenzangu wa zamani waliondekeza usela mavi halafu walipofika umri wa 30s wakajikuta wamepigwa gape la kimaisha na sisi wenzao ambao tuliacha itikadi hizo tukaamua kuwa serious na maisha.

sasa huyo rolemode wako nikki ni mmoja ya watu wa aina hiyo. maisha yamemchapa na umri wake ushaenda.
Kinachowaponza ni tafsiri batili ya neno msela. Hii kitu walishaizungumzia Wateule.
 
Aliacha kujiita bonge la nyau akajiita nani?
Nowadays ni Nyauloso[emoji23]
Kuna mahali nilisikia story eti alikuwa anajiita Bonge la Nyau sababu ya dem. Alipoachwa ndo akarudia jina lake. Though ni story za mtaa tu ambazo huenda zimekuwa inspired na ule wimbo wa Vice versa (ft Barnaba)
 
Sure Songa kwenye hisia aliua. Ila Dizasta always anakuwaga kama anaflow kwa kupishana na beat. Kinachombeba ni huwa ni maudhui mazito.
Songa yuko vizuri sana ila pia kwenye uandishi japo huwa nashindwa kuelewa kwenye nyimbo yake "NDEGE" alikua na maana nyingine au ndo alizungumzia ndege kama maudhui ya nyimbo
 
Ndege bado sijaisikiliza. Ila Tamaduni Muziki wako vizuri kwa ujumla.
 
Nowadays ni Nyauloso[emoji23]
Kuna mahali nilisikia story eti alikuwa anajiita Bonge la Nyau sababu ya dem. Alipoachwa ndo akarudia jina lake. Though ni story za mtaa tu ambazo huenda zimekuwa inspired na ule wimbo wa Vice versa (ft Barnaba)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi virapper na vikanyagia kwenda chooni...
 
Back
Top Bottom