P MAWENGE: Nahamia weusi

P MAWENGE: Nahamia weusi

Huyu Jamaa bana jina linamuharibia sana image hajui tu
Hilo jina la MAWENGE ni abbreviation of

M. Msanii
A. Awapaye
W. Watu
E. Elimu
N. Na
G. Ghani
E. Elekezi

Ipo pia kirefu cha mawenge kwa kiingereza
 
Hapo sasa nmekupata mkuu, binafsi Kikosi kazi nawakubali sana na nisingependa kuvunjika kwa kundi soon namna hii, kwa mtu yoyote anaependa na kufatilia bongo Hip Hop kikosi kazi lazima aielewe vyema, nnacho ona wangetulia na kupiga kazi za maana track zao zote ni kali balaa.
Wana album ipo jikoni, soon ina kamilika wataachia back to back saizi kila mmoja kwanza anafanya personal projects
 
Shaulin senetor anakuambia

Ukanda wa kusini ndo niliko sina shaka ,awilo yupo nae ni kidume cha mbeya ila chaka.../
[emoji23][emoji23][emoji23]ngoma inaitwa bila uoga, kuna ngoma flani inaitwa broiler, daah ni vituko tupu jamaa anajua
 
Wana album ipo jikoni, soon ina kamilika wataachia back to back saizi kila mmoja kwanza anafanya personal projects
Huwa sisiti kununua album za msanii wa hip hop nnae mkubali, dizasta nilipo post tu anatoa album nliona siku hazingandi sijawahi jutia pesa yangu
 
Naona tuwape nafasi, wanavitu kichwani ngoma yake ya mwisho kifo yupo na one six,. Ni ngoma kali akituliza kichwa toxic anaweza
Mimi nishasema katika carrier ya freestyle hakuna cha ngwair wala godzilla ambao uwezo wao wa freestyle unaweza kuwalinganisha na hiki kizazi cha kina toxic, frege na kado

Hawa madogo lazima tuwape heshima yao nao waone tusisubiri wafe ndio tuwasifie, battle wanazopiga sio za kitoto wanakutana na upinzani mkali tofauti na kizazi cha kina ngwair na freestyle zao zenye weak flow kama chid benz
 
Rapcha ana sound ki mumble rappa, vina anavitafutia mbali, story kama ile ingesimuliwa na dizasta, p mawenge au songa ingenoga sana
P mawenge nae anaelekea uko uko mfuatilie vizuri uchanaji wake saiz anazidi kua mwepesi
 
Mimi nishasema katika carrier ya freestyle hakuna cha ngwair wala godzilla ambao uwezo wao wa freestyle unaweza kuwalinganisha na hiki kizazi cha kina toxic, frege na kado

Hawa madogo lazima tuwape heshima yao nao waone tusisubiri wafe ndio tuwasifie, battle wanazopiga sio za kitoto wanakutana na upinzani mkali tofauti na kizazi cha kina ngwair na freestyle zao zenye weak flow kama chid benz
godzilla anamzidi mbishi freestyle?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ngoma inaitwa bila uoga, kuna ngoma flani inaitwa broiler, daah ni vituko tupu jamaa anajua
Broiler

hata walafi hii nyama hawaipendi, maana wanajua kila wakiitumia hawanenepi.../

Alitisha sana humo, kuna ile gheto la brother yuko na mbehmya boy nayo utacheka sana
 
Mimi nishasema katika carrier ya freestyle hakuna cha ngwair wala godzilla ambao uwezo wao wa freestyle unaweza kuwalinganisha na hiki kizazi cha kina toxic, frege na kado

Hawa madogo lazima tuwape heshima yao nao waone tusisubiri wafe ndio tuwasifie, battle wanazopiga sio za kitoto wanakutana na upinzani mkali tofauti na kizazi cha kina ngwair na freestyle zao zenye weak flow kama chid benz
Ni kweli mkuu, ingawa watu watu wengi wamebaki na akili gandamizi na kukalili juu ya wanacho amini wao, lakini sa hivi game la freestyle changamoto nyingi lakini bado wakina kitengo, toxic wanakaza na vipaji vyao tunaviona.
Watu wanacho kosea nikuwalinganisha na wasanii wa zamani na kwakua mindset zao ziko hazibadiriki wanashindwa kuona potential na ma MCs wa freestyle kizazi hv. TUWAPENI NAFASI
 
Kabla hata sijaisikiliza nina uhakika hicho kilichofanyika hapo ni 'word play'
 
godzilla anamzidi mbishi freestyle?
Godzilla na nikki mbishi naweza sema walikua kama ronaldo na messi

Ila hawa kina cado ni planet nyingine kabisa, p, songa, one, mansul walikua judges kwenye hayo mashindano walikua na wakati mgumu sana kutoa credit kwa mtu mmoja.

Yaani kila mmoja unaona katisha na tuzo inataka mshindi mmoja hahaha
 
Ni kweli mkuu, ingawa watu watu wengi wamebaki na akili gandamizi na kukalili juu ya wanacho amini wao, lakini sa hivi game la freestyle changamoto nyingi lakini bado wakina kitengo, toxic wanakaza na vipaji vyao tunaviona.
Watu wanacho kosea nikuwalinganisha na wasanii wa zamani na kwakua mindset zao ziko hazibadiriki wanashindwa kuona potential na ma MCs wa freestyle kizazi hv. TUWAPENI NAFASI
Na hicho ndicho kilimponza nikki akajaribu kuingiza mguu wake kwenye battle na cado akajikuta kachafua legacy yake ya u-legendary
 
Broiler

hata walafi hii nyama hawaipendi, maana wanajua kila wakiitumia hawanenepi.../

Alitisha sana humo, kuna ile gheto la brother yuko na mbehmya boy nayo utacheka sana
Naitwa shaulin broiler yani kuku lakizungu, huwa na buduki na si ui na maji ila si mwagi na ndo maana sina habari na hizo chuchu../
Ngoma zake hazisikiki sana wanao mjua wachache ila jamaa ni [emoji91][emoji91]
 
Godzilla na nikki mbishi naweza sema walikua kama ronaldo na messi

Ila hawa kina cado ni planet nyingine kabisa, p, songa, one, mansul walikua judges kwenye hayo mashindano walikua na wakati mgumu sana kutoa credit kwa mtu mmoja.

Yaani kila mmoja unaona katisha na tuzo inataka mshindi mmoja hahaha
kwahiyo mkuu kado anauwezo kuliko kina mbishi na godz au sijaelewa vizuri
 
P mawenge nae anaelekea uko uko mfuatilie vizuri uchanaji wake saiz anazidi kua mwepesi
Uchanaji wake wa saizi ni mwepesi?

Hii ngoma ni ya saizi, vipi ni nyepesi?

Inaonekana unawasikiliza sana kina hamisi mistari
 
Naitwa shaulin broiler yani kuku lakizungu, huwa na buduki na si ui na maji ila si mwagi na ndo maana sina habari na hizo chuchu../
Ngoma zake hazisikiki sana wanao mjua wachache ila jamaa ni [emoji91][emoji91]
Nafurahi sana pale napokutana na wadau ambao wanasikiliza mziki mzuri, na sio mziki hit

Hawa kina shaulin wako vizuri sana, contents zao zimesimama na hata kucheza na maneno wako vizuri mfano shaulin kwenye simu ya dada
 
kwahiyo mkuu kado anauwezo kuliko kina mbishi na godz au sijaelewa vizuri
Hapana mkuu anacho maanisha mziki unatofautiana vizazi na vizazi, mziki wa kina nikki ni tofauti na madogo wa siku hizi wakina stan rymes hivyo kwa ma legend wakitambo wanatakiwa wakubali kuwaachia madogo nafasi ili nao waonyeshe makali yao, pia wadau wasilinganishe maana siku hizi ma MCs ni wengi tofauti na kitambo hivyo ukimsikia msanii flani kasika na asha anza kutengeneza fans kadhaa ujue ana kitu ndani yake na watu wameki appreciate.
 
Back
Top Bottom