P-Square is back is back again

Hehehe mkuu upo?
Sikuon wasup best
Ndugu yangu kilichonikuta kikubwa, baada ya fungate simu yangu ikafa kioo, nikatoa laini nikaweka katika simu nyingine, siku nimeipeleka familia dar zoo, nikapoteza na hicho kimeo [emoji23]

Hapa kwenyewe jf natumia kimeo cha mama watoto, nimemleta dom, nikirudi mjini nitafanya harakati za simu ndugu yangu.
Niliambiwa baada ya ndoa kuna majanga nikawabeza watu, sasa nayaona, gari nimefika nayo dom fresh, nafanya harakati za kurudi gearbox inazingua [emoji848][emoji86]
Nikirudi dsm naenda kupiga mchomo katika pale feri nitoe gundu walai[emoji23]

Vipi lakini hali yako na familia kiujumla? Nasikia dsm kuna joto balaa, nipashe kamanda wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…