witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Hehehe mkuu upo?Sekta yako hii..
Sikuon wasup best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe mkuu upo?Sekta yako hii..
Ndugu yangu kilichonikuta kikubwa, baada ya fungate simu yangu ikafa kioo, nikatoa laini nikaweka katika simu nyingine, siku nimeipeleka familia dar zoo, nikapoteza na hicho kimeo [emoji23]Hehehe mkuu upo?
Sikuon wasup best
Akina Jie boy na Fire boyMuda wao umeshapita. Sasa wako vijana wengine wanaokimbiza chati
Kale kanafiki sana, [emoji23][emoji23][emoji23]Waoow good news!
Na hii ni baada ya Anita Okoye kuachika! Katakuwa kalikuwa kachonganishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila bibi jamanKumbe mbali na mapenzi kindaki ndaki kwa CCM una passion na mziki.