666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,700
- 3,921
ikiwa ni siku kama nne ivi tangia wimbo unaoitwa PERSONALLY utoke na ambao ni wimbo utakao kua hit dunia nzima kwani wimbo huo umeimbwa kwa maadhi ya kiafrika kabisa hata midundo ni ya ki afrika kabisa ngoma imejaa uafrika tupu kwani hata ile shooting yake kuna style za michael jackson zikichezwa na kuboreshwa kiafrika! Nyie mapacha mna staili tuzo zote ata za oscar! Mmekua mkiiwakilisha afrika dunia nzima na ikiwa toka mtoe bonge la ngoma jingine"alingo hata mwaka aujaisha na kwa upande wa shooting hamkuwai kum2pa kaka yenu jude okeye hata rick ross alikubali kuchukuliwa shooting na uyo uyo jude, nasema peter na paul okoye mimi binafsi ningekua ninauwezo wa kuandaa 2zo za wasanii ningewapa zote nyinyi# wasanii wa kibongo acheni ushenzi wenu wa kuzichukua nyimbo za wazungu afu mkazigeuza kwa kiswahili kuja ku2zuga sisi mtaendelea kua maskini mpaka mzeeke na majina yenu makubwa! 2nga ki2 cha ualisia na cha kiafrika uone ka autakua ka p.square? Embu mchekini dogo cabo snoop, tena tabia iyo yakugeuza mashairi wanayo-fid q,ben pol,godzilla,t.i.d,nick mbishi,na wengine taja apo chini.