p.square nyie ndo wafalme wa burudani africa nzima...

p.square nyie ndo wafalme wa burudani africa nzima...

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,700
Reaction score
3,921
ikiwa ni siku kama nne ivi tangia wimbo unaoitwa PERSONALLY utoke na ambao ni wimbo utakao kua hit dunia nzima kwani wimbo huo umeimbwa kwa maadhi ya kiafrika kabisa hata midundo ni ya ki afrika kabisa ngoma imejaa uafrika tupu kwani hata ile shooting yake kuna style za michael jackson zikichezwa na kuboreshwa kiafrika! Nyie mapacha mna staili tuzo zote ata za oscar! Mmekua mkiiwakilisha afrika dunia nzima na ikiwa toka mtoe bonge la ngoma jingine"alingo hata mwaka aujaisha na kwa upande wa shooting hamkuwai kum2pa kaka yenu jude okeye hata rick ross alikubali kuchukuliwa shooting na uyo uyo jude, nasema peter na paul okoye mimi binafsi ningekua ninauwezo wa kuandaa 2zo za wasanii ningewapa zote nyinyi# wasanii wa kibongo acheni ushenzi wenu wa kuzichukua nyimbo za wazungu afu mkazigeuza kwa kiswahili kuja ku2zuga sisi mtaendelea kua maskini mpaka mzeeke na majina yenu makubwa! 2nga ki2 cha ualisia na cha kiafrika uone ka autakua ka p.square? Embu mchekini dogo cabo snoop, tena tabia iyo yakugeuza mashairi wanayo-fid q,ben pol,godzilla,t.i.d,nick mbishi,na wengine taja apo chini.
 
P.SQUARE ni wakali ndio hilo halina ubishi ila uache uliberari wa kutupondea wasanii wetu:angry:
 
We Kumbe Had Fid Q anakopy mmmh hiyo nooma, watanzania weng hatueelewe hiz nyimbo za kiingereza tunapenda tuonekane hatujaachwa nyuma na utandawaz ndo maana tunawaangaliaga tu kina RICK ROSS, CIARA, THE GAME NA n.k bila kuwaelewa wanaimba nini sasa wasanii wetu kama kina BEN POL, GODZILLA, NICK MBISHI wapooimba tunawaona wanavipaji kumbeeee wao wanatufasiria tu kutoka KIYAI KWENDA KISWAHILI , hafu wasanii wengi wa bongo wanaoimba kingereza wachunguze utaona wanacopy aidha melody au style za wasanii wa nje , kwa kwel wabongo inabidi tuwe wabunifu sana kuwafikia P-SQUARE mifano mingine shosteez na timbulo wanakopy melody za wasanii wa nje
 
ndio kaka fid q anaiga old school hip hop za marekani na anaitranslate kwa kiswahili! Ndio mdau wewe unaujua mziki.
 
Back
Top Bottom