P Square wafiwa na baba yao

Waafrika twaamini sana uchawi ili ufanikiwe
 
Kwakua hamuwajui vizuri wanaijeria na wakongo.
»Wanatoa sana kafara katika kufanikisha mafanikio ya kimuziki,kina koffi,kina fally,werrason wameua sana wazazi wao.
»P-square walishamuondoa mama yao na sasa kafata baba yao.

Acha uwongo mpenzi King Kong III
Mama yao P-square alifia alifia juu ya kitanda nje ya nchi wakati anafanyiwa Plastic surgery......hiyo haiku weza kutangazwa kama ilivyotokea kwa mama yake Kanye West.
Huwa wanaficha habari za aina hii kwa kuhofia aibu kutoka kwa jamii inayowazunguka.
 
Last edited by a moderator:

Mmmh... Ukweli wanaujua wenyewe na Mwenyezi Mungu tu. Hapa ni kuwapa pole tu
 
Last edited by a moderator:
Atazikwa this week-end.
........... nimechoka..............
 
BABA P SQUARE AZIKWA KIFALME NIGERIA
Baba yao P Square alifariki Nov 2014, kazikwa hivi ja Jan 30 2015

Mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoye wa kundia la 'P Square' alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba.
Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo jana January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa ikiwa ni miaka miwili imepita toka kufariki kwa mama yao.


Mamndenyi do u mean mtu alikufa 27/11/2014 alikuwa hajazikwa hadi leo hii??? Mamkwe sema vuzuri bwana
 

Kisa??? Dah anyway ni mambo ya kifamilia hayo, tusikosoe wala kusifia tuwaachie wenyewe MaMkwe😛
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…