Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
kwani walikuwa wamepotea mkuu??? kama ndivyo usemavyo basi wangemuua kwanza ndio watoe SHIKINI, sasa shikini imeshashika kila mahali bila kafarasasa hivi watarudi kwenye chati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani walikuwa wamepotea mkuu??? kama ndivyo usemavyo basi wangemuua kwanza ndio watoe SHIKINI, sasa shikini imeshashika kila mahali bila kafarasasa hivi watarudi kwenye chati
Wamemaliza
Cjui Ckunyingine bwatamtoa nanii
sasa hivi watarudi kwenye chati
huoni mwenzake aliangukA juzi jukwaaniAtakayewahu ndie atamtoa mwenzie...
Kwakua hamuwajui vizuri wanaijeria na wakongo.
»Wanatoa sana kafara katika kufanikisha mafanikio ya kimuziki,kina koffi,kina fally,werrason wameua sana wazazi wao.
»P-square walishamuondoa mama yao na sasa kafata baba yao.
Acha uwongo mpenzi King Kong III
Mama yao P-square alifia alifia juu ya kitanda nje ya nchi wakati anafanyiwa Plastic surgery......hiyo haiku weza kutangazwa kama ilivyotokea kwa mama yake Kanye West.
Huwa wanaficha habari za aina hii kwa kuhofia aibu kutoka kwa jamii inayowazunguka.
Haha haaaa siku hizi nikikuona nacheka tu
nifah nakupenda mpaka naumwa.!!! Hata kama umeolewa nisaidie baby!!!
Atazikwa this week-end.
........... nimechoka..............
Mamndenyi do u mean mtu alikufa 27/11/2014 alikuwa hajazikwa hadi leo hii??? Mamkwe sema vuzuri bwana
BABA P SQUARE AZIKWA KIFALME NIGERIA
Baba yao P Square alifariki Nov 2014, kazikwa hivi ja Jan 30 2015
Mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoye wa kundia la P Square alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba.
Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo jana January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa ikiwa ni miaka miwili imepita toka kufariki kwa mama yao.