P Square wafiwa na baba yao

P Square wafiwa na baba yao

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Kichwa cha habari chahusika...

Poleni sana wafiwa...

Source. Dailypost.ng
 
Sijui ukweli wa hii habari lkn tegemea wakurupukaji waje wakuambie ni Freemason.
 
wakimaliza hao wanaanza watoto wao
 
Sijui ukweli wa hii habari lkn tegemea wakurupukaji waje wakuambie ni Freemason.

Mkuu... Ukweli huu hapa!
P-Square’s father passes onBy Omotola Filani on November 25, 2014@dailypostngr
Subcribe to Daily Post Newsletter

The father of Nigerian pop singers, Psquare, is dead.

The late Pa-Okoye passed away on Monday, 24 November.

"It is believed that he collapsed when he was about-going for a physiotherapy session,-after-recently undergoing a successful knee surgery"
 
Ivi family members wa Psquare hawatakiwi kufa???
Naona tumekimbilia kuwahukumu kua ni masonic act,kweli kua celeb ni mzigo mzito na gharama sana.

Labda family members wao wana kinga ya kutokufa.
 
Mamtu yataanza Frumason utafikiri kwao p hawafagi mfyuuuuuuuuy ole wake mtu aseme ntamuescrow
 
Kwakua hamuwajui vizuri wanaijeria na wakongo.
»Wanatoa sana kafara katika kufanikisha mafanikio ya kimuziki,kina koffi,kina fally,werrason wameua sana wazazi wao.
»P-square walishamuondoa mama yao na sasa kafata baba yao.
 
Hujui usemalo. Kwa hiyo kwenye familia zao mtu asife?
 
Watanzania tuna ujinga mwingi ndio maana hatuendelei! Yani P S hawatakiwi kufiwa? ndio maana matangazo ya waganga hayaishi na watu wana tapeliwa kila siku!
 
Attachments

  • 1417096846318.jpg
    1417096846318.jpg
    50.1 KB · Views: 879
siku zimefika jamani na uzee pia unachangia llloooh!
 
Kwakua hamuwajui vizuri wanaijeria na wakongo.
»Wanatoa sana kafara katika kufanikisha mafanikio ya kimuziki,kina koffi,kina fally,werrason wameua sana wazazi wao.
»P-square walishamuondoa mama yao na sasa kafata baba yao.

hata kala jeremiah aliimba... VIJANA WANASHINDIA STORI ZA FREEMASON

vijana achen mawazo mgando
 
Kwakua hamuwajui vizuri wanaijeria na wakongo.
»Wanatoa sana kafara katika kufanikisha mafanikio ya kimuziki,kina koffi,kina fally,werrason wameua sana wazazi wao.
»P-square walishamuondoa mama yao na sasa kafata baba yao.
so wasingekuwa wanamuziki unauhakika mpaka leo wazazi wao wangekuwa hai na wenye afya zao??
 
Back
Top Bottom