Kweli kuwa mtanzania ni kazi....yaani mnashangilia P skwea (Nigeria) kutomfahamu Diamond (mtanzania)?
Sipati shida kufikiri ni kwa jinsi gani watanzania mnashangilia kwa kila tunalofeli dhidi ya nchi nyingine........timu yetu inaposhindwa.... basi meno thelathini na nje yote mbili.
Any way mpaka kufikia hatua ya kumjadili Diamond dhidi ya huyo P skwea wenu ni kumaanisha Diamond ni SOMEBODY.....ndio maana haiwezi kutokea mkajadili ishu yangu, jinsi nilivyochezea kichapo cha mbwa mwizi baada ya kuzamia mnuso juzi hapa Tandahimba......
shida baba.umaskini unawafanya watu wawe hivi walivyo...kula tano kwanzaKweli kuwa mtanzania ni kazi....yaani mnashangilia P skwea (Nigeria) kutomfahamu Diamond (mtanzania)?
Sipati shida kufikiri ni kwa jinsi gani watanzania mnashangilia kwa kila tunalofeli dhidi ya nchi nyingine........timu yetu inaposhindwa.... basi meno thelathini na nje yote mbili.
Any way mpaka kufikia hatua ya kumjadili Diamond dhidi ya huyo P skwea wenu ni kumaanisha Diamond ni SOMEBODY.....ndio maana haiwezi kutokea mkajadili ishu yangu, jinsi nilivyochezea kichapo cha mbwa mwizi baada ya kuzamia mnuso juzi hapa Tandahimba......
silly comment...btw.....you are too localshida baba.umaskini unawafanya watu wawe hivi walivyo...kula tano kwanza
Mbona hiyo sentensi yako ipo clear na sasa kinachokutatiza wewe ni nini?! Kwanini wewe ukihidhuria harusi ya NasDaz ni lazima uwe umealikwa na NasDaz? Ikiwa ulialikwa na mtu mwingine tofauti na NasDaz, kwani itakuwa ni jambo la kushangaza cku NasDaz akisema kwamba hakufahamu? Yaani kwavile NasDaz hakufahamu ndo basi tena inakuwa umepoteza uhalali wa kuhudhuria harusi yangu?Mwanamuziki wa P square, Peter Okoye ameoneshwa kushangazwa na taarifa kwamba mwanamuziki wa bongo fleva Naseeb Abdul alihudhuria harusi yake hivi karibuni nchini Nigeria na kuhudhuriwa na mastaa mbali mbali akiwenmo msukumba gozi wa Totenham Hotspurs Adebayor.
Hao p skwea wako humu JfWanaija kwa dharau hawajambo. Haya sasa nawauliza tena P2, je bado hamumjui DIAMOND PLATNUMZ?
Hao p skwea wako humu Jf
Wanaija kwa dharau hawajambo. Haya sasa nawauliza tena P2, je bado hamumjui DIAMOND PLATNUMZ?
Wanaija kwa dharau hawajambo. Haya sasa nawauliza tena P2, je bado hamumjui DIAMOND PLATNUMZ?
Daa mwandishi wa hii habari ni mchochezi sana daaa!
Mmh inaelekea aliomba lift tu,yaan aalikwe yeye kwa lipi??,yaan mtu akualike halafu asijue uwepo wako wala jina lako?? Too hell