Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
[emoji23][emoji23]....ila vijana wa Mond bwana.....Mpaka sasa kati ya diamond na psquare nani mkubwa
Kwani anawazidi nini?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]....ila vijana wa Mond bwana.....Mpaka sasa kati ya diamond na psquare nani mkubwa
Ulinena vema ndugu!Kweli kuwa mtanzania ni kazi....yaani mnashangilia P skwea (Nigeria) kutomfahamu Diamond (mtanzania)?
Sipati shida kufikiri ni kwa jinsi gani watanzania mnashangilia kwa kila tunalofeli dhidi ya nchi nyingine........timu yetu inaposhindwa.... basi meno thelathini na nje yote mbili.
Any way mpaka kufikia hatua ya kumjadili Diamond dhidi ya huyo P skwea wenu ni kumaanisha Diamond ni SOMEBODY.....ndio maana haiwezi kutokea mkajadili ishu yangu, jinsi nilivyochezea kichapo cha mbwa mwizi baada ya kuzamia mnuso juzi hapa Tandahimba......
Nlivyoona hii thread nkategemea kukuta coment ya aina hii🤣🤣🤣 nisingeikuta ningeiweka hata mmHizi tabia za kina shilole kuvamia harusi hazikuanza juzi