P Square wamfunga mdomo Diamond!

P Square wamfunga mdomo Diamond!

Kweli kuwa mtanzania ni kazi....yaani mnashangilia P skwea (Nigeria) kutomfahamu Diamond (mtanzania)?

Sipati shida kufikiri ni kwa jinsi gani watanzania mnashangilia kwa kila tunalofeli dhidi ya nchi nyingine........timu yetu inaposhindwa.... basi meno thelathini na nje yote mbili.

Any way mpaka kufikia hatua ya kumjadili Diamond dhidi ya huyo P skwea wenu ni kumaanisha Diamond ni SOMEBODY.....ndio maana haiwezi kutokea mkajadili ishu yangu, jinsi nilivyochezea kichapo cha mbwa mwizi baada ya kuzamia mnuso juzi hapa Tandahimba......
Ulinena vema ndugu!
 
Back
Top Bottom