P the MC: Msanii bora wa hiphop kwa nyimbo za hadithi(story telling)

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Achana na story tatu ya Jay moe,nikusaidieje ya Profesa Jay,starehe ya Ferooz,mikasi ya Ngwair au Playboy ya Nikki Mbishi

Huyu bwana anayietwa P the mc ni hatari kwa hizi nyimbo za kughani huku ukisimulia hadithi

anakosha sana.
 
Nyuzi nyingine ingetakiwa ziwe zinafutika papo kwa papo zinapoandikwa automatically au kuwa na kifaa maakumu kung'amua kinachoandikwa kama ni utumbo basi hakiandikiki automatically.
 
Huyu P the MC,ndye aliyekuwa na Mangwair dk za mwisho kwa Mzee Madiba!
 
Huyu P the MC,ndye aliyekuwa na Mangwair dk za kwa Mzee Madiba...nilishawah sikiliza kazi zake flani ziko so hot!
siyo huyo mkuu....alokuwa na ngwair alikuwa anaitwa Mr P...Huyu anaitwa P the MC
 
Huyu P the MC,ndye aliyekuwa na Mangwair dk za mwisho kwa Mzee Madiba...nilishawahi sikiliza kazi zake flani ziko so hot!
 
Kama mada haikuhusu achana nayo nenda kwenye mada znazo kufaa
Tupo watu ambao tuko interested na uzi tutachangia
Huo nao ni mchango wangu pia au ulitaka niandike unachotaka kusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…