P the MC: Msanii bora wa hiphop kwa nyimbo za hadithi(story telling)

P the MC: Msanii bora wa hiphop kwa nyimbo za hadithi(story telling)

fala kweli wewe....hata kuandika hujui

hata hujui unachokiandika,umetumia muda angalau kupitia ujue unaandika kitu gani

wewe kama humjui kaa kimya,baki na tope zako unazopakuliwa marasani...

ukitaka kumjua uliza,mbona wenzio wanauliza

tatizo mkishafanikiwa kuijua jf mnajifanya wajuaji sana kumbe vilaza wanuka mkojo na wapakuliwa tope

mtoto wa kiume kushoboka wanapojadili wanaume ni dalili ya ushoga uliotukuka

acha nyege kijana,utaolewa
Huwezi kukiri lakini Elimu umepata, karibu tena.
 
Kama safu ya ufukara yao ilikua ya juu.
Kipondi baba yu hai mambo yalikua nafuu
Hawakupata tabu ya nyanya na kitunguu lakini sasa balaa hali ni kama dalfuu (somalia)
 
Baba msaliti
Mama mjane
I miss u

Kiukweli hakuna kama P THE MC

Nimemjua enzi zile anafanya kipindi cha daladala TBC 1 jamaa anachana mno
nje ya muziki jamaa ana mishe gani,maana naona ni kama mziki hauwalipi sana hawa jamaa
 
Jamaa nyimbo zake ni nzuri sana siyo ngumu sana kuelewa anajitahidi sana kupangilia mizani na vina nazipenda sana nyimbo zake kupita nyimbo nyingine za Hip hop kibongo
Na hutumia kiswahili mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom