P the MC: Msanii bora wa hiphop kwa nyimbo za hadithi(story telling)

Huwezi kukiri lakini Elimu umepata, karibu tena.
 
Kama safu ya ufukara yao ilikua ya juu.
Kipondi baba yu hai mambo yalikua nafuu
Hawakupata tabu ya nyanya na kitunguu lakini sasa balaa hali ni kama dalfuu (somalia)
 
Baba msaliti
Mama mjane
I miss u

Kiukweli hakuna kama P THE MC

Nimemjua enzi zile anafanya kipindi cha daladala TBC 1 jamaa anachana mno
nje ya muziki jamaa ana mishe gani,maana naona ni kama mziki hauwalipi sana hawa jamaa
 
Jamaa nyimbo zake ni nzuri sana siyo ngumu sana kuelewa anajitahidi sana kupangilia mizani na vina nazipenda sana nyimbo zake kupita nyimbo nyingine za Hip hop kibongo
Na hutumia kiswahili mwanzo mwisho
 
Old school emc's were far better than the current emc's kwenye story telling
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…