P the MC: Msanii bora wa hiphop kwa nyimbo za hadithi(story telling)

unaweza kuta huyu aliyeleta hii habari ndo p the mc mwenyewe kaingia na Id fake
 
kuzama ndan c ndo kiatu kikanivuka/
bas zima harafu chafu ikaanza kunuka/
ya miguu watu wakanishangaa/
nikakaza sura nikakifata nikakivaa/

Jamaa fund san ajawah kuarib
 
unaweza kuta huyu aliyeleta hii habari ndo p the mc mwenyewe kaingia na Id fake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
HUNA JIPYA,WANANGU,BABA MSALITI,UKIPANDA DAU
mi nikiwa huru,uhuru kwa masela
shangwe kibao utasema lulu ametoka jela
kwa rap nimekufuru,sijawahi kumbwela
natawala kwao zaidi ya makaburu kwa mandela
rapa mwenye mzuka,sujavuta kaya na kila ngoma nkigusa waya

kuchana hatujasahau....
.
.
.
 
siyo huyo mkuu....alokuwa na ngwair alikuwa anaitwa Mr P...Huyu anaitwa P the MC
anaitwa M 2 the P..jamaa yake na ngwair,watoto mlioanza kujua mziki 2015 ndo mnakuja na story hizi za kina P the MC.haha anaweza but hajafika kiwango ichoo..maybe wanangu.he's tryn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…