MWAKITWINO
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 227
- 121
Nimekukubali mzee wewe ni Noma kuna watu wanajifanya vipofu Tuanzie hapa kwetu Matumaini yetu yako wapi????That is how we are. Ukubali usikubali. There is nothing valuable we can do, there is nothing we can change. Angalia kinachoendelea nchini watu wanalialia tu. Sukari inapanda kiholela viongozi wetu wakuu wanakuja na matamko, matamko yao hayatekelezwi. What kind of research do you need to prove our failure? We are the most failure specie on this planet. Hata tufanyeje, bila kubadili mindset zetu tutaendelea kubaki hivyo tu.
Povu halibadili ukweli!
Wewe umefanya lipi?Ulisema:".....African's can not rule themseleves.Give them guns and they will kill each other.They are good in nothing else but makingi noise, dancing,marrying many wives and indulging in sex....."
Haya ni maneno yanayodaiwa kutolewa na Botha mwaka 1985.
Utaeleza vipi yanayoendelea Ukraine?Kuna ukweli kwenye kauli yake mpaka leo..... unaelezea vipi yanayo endelea Burundi? ....
huo ndio ukweli na unauma. Unadhan sisi waafrika tunapendana. Tukubali ukweli na tubadilike ndio njia pekee ya kujikomboa. Hali yetu miafrika kiuchum kijamii na kisiasa ni mbaya Sana na cha kuhuzunisha inaintesify na kurithiana inaniuma hadi jamii ya Roma Gypsies wanatudharau
mkuu ila ni kwel kabisa huwez ukamkuta mwafrika ulaya kakaa pembezon mwa barabara akiomba omba kama hawa gypsies. Nilishamtokea kabint ka Roma Gypsies kutoka katona Bulgaria 18years old ilikuwa 2012 nilimpa krone 30 yan alinipenda tukazoeana kiingereza alikuwa anafaham. Akanisimulia wanavyoish kuhama hama kabla ya kuja Copenhagen walikuwa uingereza ufaransa ujeruman kuomba omba. Alinichekesha aliponiambia just imagine all these people passing here could drop 10 krone each kila mara nilipopita hapo namuachia hela na kusema my African man u r so kind. Baada ya wiki moja kujuana sikumuona tena nilikuwa narandaranda ovyo ovyo kumtafuta hadi Leo. She was so pretty with long black hair.Ukweli ni kuwa hakuna anayempenda mwaafrika kuliko mwafrika mwenzie. Hao Gypsies wanawadharau waafrika kwa vile nao hubaguliwa kwa hiyo wanamtafuta mnyonge. Wanashangaa kwa nini weusi waliopo Ulaya hawana maisha duni kama ya kwao
je unaish ulaya?Ukweli ni kuwa hakuna anayempenda mwaafrika kuliko mwafrika mwenzie. Hao Gypsies wanawadharau waafrika kwa vile nao hubaguliwa kwa hiyo wanamtafuta mnyonge. Wanashangaa kwa nini weusi waliopo Ulaya hawana maisha duni kama ya kwao
Ya Mseveni sehem nyingi tu Africa ya kati, ubadhirifu kila sehemu. Tusiseme sana tutaitwa kuhojiwaKwahiyo case 1 ya Burundi ndiyo itumike kujustify kauli ya Botha? Kazi kweli kweli.
Anzisha thread ya Ukraine hii ni ya Botha na wa Africa mkuu...Utaeleza vipi yanayoendelea Ukraine?
Arrant nonsense!! Unaishi nchi gani wewe?Sukari imepanda kwasababu ya forces za demand and supply, siyo kwasababu viongozi wanatoa matamko halafu hayatekelezeki.
The speech below made on Agust 1985Kwahiyo kwasababu Botha amesema tayari hiyo kauli inakuwa ukweli?
Mkuu taaratibu ngoja tunyooshane na hawa weusi wanaokataa huu ukwelii, lakini wakisifiwa hata kama ni sifa za huongo wataona ni sahihi.Hayo maneno ni ya kweli kabisa
je unaish ulaya?
Anzisha thread ya Ukraine hii ni ya Botha na wa Africa mkuu...
Sukari imepanda kwasababu ya forces za demand and supply, siyo kwasababu viongozi wanatoa matamko halafu hayatekelezeki.
Hakua theory hapa... waliisha maliza kina Pythagoras na wengine... hapa ni ukweli... hoja mezani ni Botha juu wa waafrika kuto weza jitawala... we unaleta mambo ya Ukraine... hata picha huoni tu mkuu kama kusoma ni shida???Ilibidi nikueleze kinachoendelea Ukraine kwa ajili ya kuprove kuwa theory yako ni ya uongo
Same na wachina wakikutana Mwanalumango..... same na wajapan wakikutana katavi.... fikiri nje ya boxi mkuu... kuishi nchi nyingi hakujakunufaisha kifikra naona....Hapana. Lakini nimetembea ba kuishi nchi nyingi. Kuna sehemu ukimwona Mwafrika ni bahati. Hata hivyo utaona mtu wa kwanza kukusalimia na kutaka kukufahamu ni Mwafrika. mkiwa waafrika wachache basi mnakuwa ndugu haijalishi nchi mnazotoka
Hakua theory hapa... waliisha maliza kina Pythagoras na wengine... hapa ni ukweli... hoja mezani ni Botha juu wa waafrika kuto weza jitawala... we unaleta mambo ya Ukraine... hata picha huoni tu mkuu kama kusoma ni shida???
Makingi = makingUlisema:".....African's can not rule themseleves.Give them guns and they will kill each other.They are good in nothing else but makingi noise, dancing,marrying many wives and indulging in sex....."
Haya ni maneno yanayodaiwa kutolewa na Botha mwaka 1985.