P.W.Botha nakumbuka maneno yako

P.W.Botha nakumbuka maneno yako

Same na wachina wakikutana Mwanalumango..... same na wajapan wakikutana katavi.... fikiri nje ya boxi mkuu... kuishi nchi nyingi hakujakunufaisha kifikra naona....

Kumbuka kuwa Wajapan wakifika huko Maneromango wanatetemekewa. Hata huko RSA walikuwa wanatetemekewa. Walikuwa wanaitwa honorary whites
 
Hayo maneno ya Botha ni ukweli mtupu, mtu ambae anabisha anajaribu kujipa moyo tu. Unajua hata shuleni ikitokea ukawa kilaza huwa unajipa moyo, aah kwanza wale wamesoma tuition! aah wale wanatoka familia bora, ikatokea kwenye maisha umefeli hela huna na huna channel za kueleweka sababu hazikosi, aah unajua jamaa hela za urithi, au aah huwezi kutoka bila channel and so on... ni kawaida ya binadamu kujustfy kwa nin amefeli.

Ukiangalia nchi nyingi za bara la Africa zikiongozwa na Ghana iliyoanza kupata uhuru ziko nyuma sana, angalau kidogo wao Ghana, Nigeria na Kenya wako vizur kidogo, lakin huwezi kulinganisha na emerging economies za Asia ambazo ziko mbali sana japokuwa hatukuachana sana miaka ya 50 na 60 wakat Africa inaanza kujitawala.
So mambo mengi yameendelea, na yanaendelea ambayo ni ukweli kabisa alichokisema Botha.
 
Pythagoras was a great scientist in his days but so many important ones followed after him. And many more will come.

If you say all swans are white it takes the siting of any non- white swan to prove that the theory is wrong.
Cool... as u may find it right.... the issue here is not about scientific theories rather the ignorance, dictatorship and inability of out leaders to govern
Our lovely continent making us live like slaves.... as for the rest am not interested....
 
Pythagoras was a great scientist in his days but so many important ones followed after him. And many more will come.

If you say all swans are white it takes the siting of any non- white swan to prove that the theory is wrong.
Cool... as u may find it right.... the issue here is not about scientific theories rather the ignorance, dictatorship and inability of out leaders to govern
Our lovely continent making us live like slaves.... as for the rest am not interested....
 
kule ukraine wanapgana vita,yugoslavia juzi tu hapa,isitoshe watu weupe wameona wafanye movie za ngono na kuuza,na soko kubwa lipo hukohuko kwao
Silaha walizonazo Amerika mikononi mwao zingekuwa mikononi mwetu unafikiri kwa siku moja tungepata matukio mangapi ya majerui au mauaji?
 
No. Botha is not talking about African leaders but every black person including you and me.
 
That is how we are. Ukubali usikubali. There is nothing valuable we can do, there is nothing we can change. Angalia kinachoendelea nchini watu wanalialia tu. Sukari inapanda kiholela viongozi wetu wakuu wanakuja na matamko, matamko yao hayatekelezwi. What kind of research do you need to prove our failure? We are the most failure specie on this planet. Hata tufanyeje, bila kubadili mindset zetu tutaendelea kubaki hivyo tu.
Nipo na wewe kabisa!!!! Na Waafrika hawataweza kwenda mbele mpaka kwanza tujiulize kwanini hatupigi hatua karne zote hizi.
 
Aha wapi, upuuzi wa kumshangilia Botha, hivi unajua ni Watanzania wangapi walipoteza maisha kwa sababu ya sera na maamuzi ya huyo Botha? Leo hii kusikia nyie vijana mnamhusudi mtu aliyaona nyie ni sawa na nyani hata kuwaua kama sio wendawazimu ni nini?
Mpaka muda huu bado unabisha?
 
Kwanza hatuwezi kujikwamua kwa kuendeleaa kunukuu n'a kuyaabudu maneno ya hao watu wa ughaibuni. Hutumia maneno na kila ghiriba kuhakikisha mwafrica anaendelea kuwa duni.wanapokujaa wawekezaji/wakoloni huwafanya waafrica daraja la mwishooo kabisaa huku asia wakiwa second class nao ni first class pychologically hii ni silaha mbayaa sana kuwahi kutumikaa ktk dhana ya mapambano ya kujikwamuaa "selfconccisness " ambayooo wenzetuu huanza toka utotoni kuwatengeneza watoto wao kuwa bila wao hakuna ulimwenguuu huku wakiwapa mifanoo anwaii.
Ningeonaa jambo la busaraa sana kwa vijanaa kuanzaa kuwalishaa watoto wao na jamii yaoo nguvu na ujasiri wa kuthubutuu kutendaaa na kutoishia kutamani Au kukatisha tamaa kwa kuyanukuu maneno ya watu wasio n'a faida kwetu
Jiulize "ureno iliwapoteza vascodagamaa wangapi hadi huyoo mmoja kuifikia ardhi ya kijana yenye kila neema(africa)? " kama vitabu vyao vingewanukuu n'a kuwaandika wale waliofail miongoni kwa kundi la vascodagama wangefika hapa ????
 
Sukari imepanda kwasababu ya forces za demand and supply, siyo kwasababu viongozi wanatoa matamko halafu hayatekelezeki.
we nawe ni kabishi....
.yaani unabisha alimradi uonekane na wewe ni mtengeneza hoja......sasa ambacho wewe unasema hakina ukweli au haki apply hapo ni nini labda?!
Maana kama ni uhalisia unaonekana jamii hii ya wakazi wa afrika(si kwasababu ya rangi zao.....kwa sababu ya aina ya tabia ya jamii husika) hawana mwelekeo wa pamoja wa kutoka kiuchumi bado tenasa katika hatua za awali kabisa za maendeleo au kupiga hatua kwa jamii ya binadamu......
 
Hayo maneno aliongea katika context gani? Leo unashindwa kupinga hayo maneno kwa utafiti upi uliofanya?

Huyo Botha aliongea hiyo kauli kwenye kipindi ambacho apartheid imeshika kasi South Africa, so chochote kilichotamkwa au kufanywa na serikali yake kilikuwa influenced na mazingira hayo.
Sawa, kwani huoni kwa sasa iyo statement Ina Uhai wakutosha? Jenga hoja kupinga iyo kauli. We Africans.......( namalizia tafiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji108])
 
we nawe ni kabishi....
.yaani unabisha alimradi uonekane na wewe ni mtengeneza hoja......sasa ambacho wewe unasema hakina ukweli au haki apply hapo ni nini labda?!
Maana kama ni uhalisia unaonekana jamii hii ya wakazi wa afrika(si kwasababu ya rangi zao.....kwa sababu ya aina ya tabia ya jamii husika) hawana mwelekeo wa pamoja wa kutoka kiuchumi bado tenasa katika hatua za awali kabisa za maendeleo au kupiga hatua kwa jamii ya binadamu......
Mkuu,leo yametimia tena kwenye huu uchaguzi wa madiwani!

Africa ni shida!!!
 
Ulisema:".....African's can not rule themseleves.Give them guns and they will kill each other.They are good in nothing else but makingi noise, dancing,marrying many wives and indulging in sex....."

Haya ni maneno yanayodaiwa kutolewa na Botha mwaka 1985.
Anaushahidi,ona zuma,pale lesoto,sudani kusini,na kwingine unaona demokrasia inavyo kanyagwa. Salary, the man was right.
 
Back
Top Bottom