Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Capetown kuna mahali panaitwa Seawind pembezoni na bahari huwa kuna upepo mkalii lakini nyumba za hayo maeneo ni yenye paa zisizojificha. Je hawa waandisi unahisi walikosea kujenga hizo nyumba kutokana na ushauri wako uliompa huyo jamaaEti unakuta bongo mtu anajenga paa la kujificha watu hawajui hata maana.
Paa la kujificha ni Maalumu kwa nchi za jangwani zisizo na miti zenye upepo mkali ile gema la juu ndio uzuia nyumba isiezuliwe na upepo maana kule ukijenga paa za kuonekana zinabebwa na upepo.
Sehemu za joto zisizo na upepo paa sahihi ni ya kuonekana sababu inasadia kupooza nyumba joto kwa sababu ya uwepo wa nafasi kubwa kati ya paa na selling.
Hizi za kujificha na mafundi wetu,plus bati na mbao visivyo na ubora tegemea kuzeeka mara mbili.
Kuna kitu kinaitwa insulation je wakati bati anaweka hiyo insulation iliweka... Hata wakati pia kabla hujapiga ceiling board pia waweza weka.Kweli nimeamini. Uncle wangu alijenga contemporally kali sana lakini jana nimefika kwake nikamwonea huruma. Nyumba inachora ramani juu kwenye gypsum, nimehis tu ni maji yameshaanza
Fafanua kidogo mkuuMwaga zege mkuu achana na mimbao ya kenchi na mabati feki
Nafikiri akimaanisha iwekwe 'slab' nyumba yote, juu pawe flat kama uwanja.Fafanua kidogo mkuu
Yes it is..Nafikiri akimaanisha iwekwe 'slab' nyumba yote, juu pawe flat kama uwanja.
Mkuu watu wengi ujenga kwa kuangalia picha na hawashirikishi wataalam wa fani ya ujenzi.Me nimeezeka nyumbani yangu kwa mtindo huu, ila zile mvua za Masika nyumba ikaanza kuvuja kidogo.
Niko natafuta fundi mzuri akafanye marekebisho.
Ingawa nimeambiwa kuna materials ziko Nabaki Afrika zinaweza kunisaidia kuzuia hilo tatizo.
Shukrani kwa maarifa.Mkuu watu wengi ujenga kwa kuangalia picha na hawashirikishi wataalam wa fani ya ujenzi.
Pale bati inapokutana na ukuta kunatakiwa kuwe na vibati vyenye umbo la Z vinaitwa flashing na siyo kuweka undongo. Bati na undongo havina muingiliano.
Kuhusu joto kuna materials ya kupunguza joto yanawekwa kabla ya bati yanaitwa sisalation. Pia urefu wa kutoka chini hadi ceiling zinapoanzia unatakiwa uwe wa kutosha.
Pia hizo nyumba zinatakiwa ziwe na gutter ya zege kwa ndani na hiyo gutter inatakiwa ifanyiwe finishing za water proofing materials zinaitwa roof felt.
Kiufupi aina hiyo ya paa inahitaji utaalam nasiyo kujenga kwa kutumia picha.
Upo mkoa gani?Shukrani kwa maarifa.
Kama hautajali nitaomba mawasiliano ya fundi wako kama yuko vizuri eneo hilo.
Kibanda changu kipo Dar es SalaamUpo mkoa gani?
OK. Itakuwa rahisi kwani fundi yupo dar. Nitumie number yako pm ili ni share na fundi aje afanye assessment kwanza.Kibanda changu kipo Dar es Salaam
Naomba nitumie namba ya huyo Fundi, nitawasiliana naye.OK. Itakuwa rahisi kwani fundi yupo dar. Nitumie number yako pm ili ni share na fundi aje afanye assessment kwanza.
Tuko pamoj kwenye hili mkuu 🚶🚶🚶Sitii neno hapa maana similiki nyumba.