ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
Asema inakuwa vigumu kwa watu maarufu kama wasanii kushindwa kuoa kwasababu wanazungukwa na Wasichana warembo kila mara na kutaka kupakua kila amuonaye. kwa mfano kanumba hakupanga kuoa. Pia amesisitiza mwanaume kuwa na mtoto ni Heshima kwa mfano ray anamtoto anaitwa baba fulani sasa hivi japo hajaowa.