Pacho Mwamba asema Kanumba hakuwa na mpango wa kuoa Lulu, Kuwa Mtoto ni Heshima

Pacho Mwamba asema Kanumba hakuwa na mpango wa kuoa Lulu, Kuwa Mtoto ni Heshima

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Asema inakuwa vigumu kwa watu maarufu kama wasanii kushindwa kuoa kwasababu wanazungukwa na Wasichana warembo kila mara na kutaka kupakua kila amuonaye. kwa mfano kanumba hakupanga kuoa. Pia amesisitiza mwanaume kuwa na mtoto ni Heshima kwa mfano ray anamtoto anaitwa baba fulani sasa hivi japo hajaowa.
 
Back
Top Bottom