Pack up and go!,Kenyatta tells journalist.

Nonsense,kwani hiyo miaka yote mlikuwa hamjui kwamba zinapiga propaganda? That's media gagging!
Whatever it is you won't do a thing about it utapanua tuuu mdomo hapa JF. Pole kwa maumivu ya sindano kugusa hapo ndipo.
 
Wakuu mbona kuna maelezo mazuri tu chini hapa
Kawaida yake rais Uhuru Kenyatta akimaliza kikao na wanahabari pale ikulu, huwa anawaambia karibuni chai. Sasa alipowanyooeshea kidole cha kati badala ya kuwapa chai ilibidi hawa jamaa wa'catch mafeelings' tu! Walizoea sana! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Ila wajue kwamba, mambo hubadilika bana, acha wakanywe chai kwa wake zao! πŸ˜€πŸ˜€
 
UHURU KENYATA nimemkubali kwa %100
Nia ya RAILA ilikua hasa kenya imwage damu,siku hio atakayo apishwa
Kusudio lake haasa ilikua iwe vurugu kenya na wananchi wapigane
Lkn alichokifanya President Uhuru,kwanza aliwaambia Jeshi tulieni tu,tumwangalie
Polisi woote waliambiwa waamgalie usalama tu wa raia,
Jamaa aliapishwa salama,hakuna mabomu wala wananchi hawakupigwa marungu wala risasi
Kifuatacho sasa baada ya kiapo hicho.
Wanakamatwa mmoja baada ya mmoja tena kilaaaiiiinii[emoji3]bila kenya kumwagika damu wala wananchi hawadhuriki[emoji3]
Ulishawahi kuona wapi Rais baada ya kuapishwa akarudi nyumbani kwake kupumzika[emoji3][emoji3][emoji3]

Big Up Pr,Uhuru kwa busara zako ulizozitumia[emoji3]
Ingekua Bongo hapo,,,Duuhh!!!
Sipati picha wakuu[emoji1321]
 

Kwa hiyo Uhuru Kenyatta aliwanyooshea kidole cha kati waandishi wa habari, kweli demokrasia imekuwa Kenya
 
Kwa hiyo Uhuru Kenyatta aliwanyooshea kidole cha kati waandishi wa habari, kweli demokrasia imekuwa Kenya
Man hiyo ni 'figure of speech' tu meaning he told them off! Do I have to explain such simple terms? Acha ushamba wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…