UHURU KENYATA nimemkubali kwa %100
Nia ya RAILA ilikua hasa kenya imwage damu,siku hio atakayo apishwa
Kusudio lake haasa ilikua iwe vurugu kenya na wananchi wapigane
Lkn alichokifanya President Uhuru,kwanza aliwaambia Jeshi tulieni tu,tumwangalie
Polisi woote waliambiwa waamgalie usalama tu wa raia,
Jamaa aliapishwa salama,hakuna mabomu wala wananchi hawakupigwa marungu wala risasi
Kifuatacho sasa baada ya kiapo hicho.
Wanakamatwa mmoja baada ya mmoja tena kilaaaiiiinii[emoji3]bila kenya kumwagika damu wala wananchi hawadhuriki[emoji3]
Ulishawahi kuona wapi Rais baada ya kuapishwa akarudi nyumbani kwake kupumzika[emoji3][emoji3][emoji3]
Big Up Pr,Uhuru kwa busara zako ulizozitumia[emoji3]
Ingekua Bongo hapo,,,Duuhh!!!
Sipati picha wakuu[emoji1321]