Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,735 Reaction score 8,541 May 22, 2024 #21 Sammchina said: View attachment 2996665 Click to expand... Kwani hiyo mashine hauna hapo uipige picha tupate jina na specifications zake
Sammchina said: View attachment 2996665 Click to expand... Kwani hiyo mashine hauna hapo uipige picha tupate jina na specifications zake
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 May 22, 2024 #22 Kuanzia sasa kila anaeweka biashara yake aweke na duka la spea zake Unanunua blender seal ikikatika unalitupa lote je ni haki kwa watumiaji? Haya ninunue hiyo mashine kabla haijarudisha hela yake limeharibika Tuambie na spares zake kama unazo
Kuanzia sasa kila anaeweka biashara yake aweke na duka la spea zake Unanunua blender seal ikikatika unalitupa lote je ni haki kwa watumiaji? Haya ninunue hiyo mashine kabla haijarudisha hela yake limeharibika Tuambie na spares zake kama unazo
S Sammchina Member Joined Apr 4, 2021 Posts 12 Reaction score 10 May 23, 2024 Thread starter #23 Physical picture hii apa nilikua bado sijai assemble wakuu
S Sammchina Member Joined Apr 4, 2021 Posts 12 Reaction score 10 May 23, 2024 Thread starter #24 Spea zinapatikana apa mjini na zingine tunaagiza kutoka kiwandani mchina mashine ilipotokea hamna shida
Spea zinapatikana apa mjini na zingine tunaagiza kutoka kiwandani mchina mashine ilipotokea hamna shida
S Sammchina Member Joined Apr 4, 2021 Posts 12 Reaction score 10 May 23, 2024 Thread starter #25 Kirchhoff said: Kwani hiyo mashine hauna hapo uipige picha tupate jina na specifications zake Click to expand... Hii picha niliweka huone specs zake lakini nishapiga unaweza kuona kwny latest post yangu
Kirchhoff said: Kwani hiyo mashine hauna hapo uipige picha tupate jina na specifications zake Click to expand... Hii picha niliweka huone specs zake lakini nishapiga unaweza kuona kwny latest post yangu