Packaging machine

Packaging machine

Kuanzia sasa kila anaeweka biashara yake aweke na duka la spea zake
Unanunua blender seal ikikatika unalitupa lote je ni haki kwa watumiaji?
Haya ninunue hiyo mashine kabla haijarudisha hela yake limeharibika
Tuambie na spares zake kama unazo
 
Physical picture hii apa nilikua bado sijai assemble wakuu
43ECBEFF-E13F-4F62-A5C1-DECDAC0F9774.jpeg
 
Spea zinapatikana apa mjini na zingine tunaagiza kutoka kiwandani mchina mashine ilipotokea hamna shida
 
Back
Top Bottom