Packaging ya nyama na masoko yake

Packaging ya nyama na masoko yake

YUDITHA

Senior Member
Joined
May 5, 2013
Posts
154
Reaction score
28
Ndugu ,mimi ni mfugaji wa kuku kwa muda nimekuwa nikiuza wakiwa wazima.

kwa sasa nataka niongeze thamani ya kuku wangu nifungashe, niweke label, na kuuza. nzifahamu hatua zote za kupitia kabla sijaingiza mzigo sokoni.

Ninachoomba kutoka kwenu naomba mnisaidie upakikanaji wa soko kwa bidhaa ninazotaka kuunza kazalisha. Niko kibaha .

Niambieni sehemu yeyote nitaenda kuongea nao iwe ktk masuper market, hotelini, cafe, vyuo ,sherehe mbali2 ikiwemo tenda za harusi n.k

0753359245 ,0713299513 Naomba tuwasiliane kwa namba hizo.
 
Mkuu mpango huo yawezekana ukaleta tija kama utaufanyia kautafiti kadogo. Mimi nianze kujua ni wale kuku wa kienyeji au hawa broilers?
 
kwa bahati nzuri nafuga wote broilers na wakienyeji. na punde tu nitaongeza hawa machotara wa thailand
 
Back
Top Bottom