Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Sio wasichana wote ni wasiojielewa mi nikiwa na MTU wa hivo nampa makavu yakeHivi lakini kwanini Wasichana wanapenda Sanaa ukaribu na mashoga...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wasichana wote ni wasiojielewa mi nikiwa na MTU wa hivo nampa makavu yakeHivi lakini kwanini Wasichana wanapenda Sanaa ukaribu na mashoga...
si ndo mume wa harryNdo nani huyo mkuu
Tueleze kidogo mkuu tuelekeze nas tufollow hkoIla ndugu zangu vijana wanaharibika kwa kasi sana tuwe makini na watoto wetu hasa wa kiume jana na mimi nilipata kudukua dukua huko Instergram Nilichokiona ni siri yangu.
Yes ndo maana yake
Waote wanapenda mashogaSio wasichana wote ni wasiojielewa mi nikiwa na MTU wa hivo nampa makavu yake
Ni kweli kabisaHuyu kaka alikuwa na ukaribu (ushoga) na madada wa mujini...
Unakuta kundi la ladies only na yeye yumo...
Mungu amlaze mahali pema peponi
Hizi tabia ni socially constructed kwa hiyo tusimyooshee vidole wakati ni proof ya failure upande wetu kama wazazi, walezi na majirani...wengi tabia hizi uanzia nyumbani kwao ambako ungetegemea ni mahala salama kwa malezi ya kijana wa kiume
ifike kipindi tuache unafiki na kumung'unya maneno maana ndio unaotuponza nakuendelea kuharibu jamii yetu, swala la ushoga ni kinyume kabisa na baadili yetu yakiafrika na hata vitabu vitakatfu vinakataza na kusema wazi wazi kua wanaofanya hivyo vitendo hawatouona ufalme wa mungu sasa iweje sisi tumung'unye maneno, ushoga ni laana na niwatu wakutengwa na jamii.
Coz wote wanatumia line ndogoHivi lakini kwanini Wasichana wanapenda Sanaa ukaribu na mashoga...
Mimi namzungumiza huyo kaka aliyepiga picha naye hapo juu. Siyo Mwaraabu na siyo Gay. Pumbaaf! Mbona wee ni m.se.nge tu hata kabla sijakuona.
Walioanzisha ushoga au mashoga wengi ni wakristo naona umesahau US na ULAYA, Na umesahau kuna mapadre wana waozesha huko Ulaya na soon mtaletewa hiyo sharia hapa au hujafikiria kwamba Waazilishi wa hilo ni wakristo na mashoga wengi ni wao wakristo. tabia chafu ya kila jambo kuanza kuingiza udini.
Au wakiume...!!??hahaha ndioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
mimi naona picha 2 walipiga bt medzio cjui kma alikua anapiga line ndogo hapoPole kwa Mr Medzio former director of production wa Eatv ..mkeo kaenda..pole sana
medzio hana mkwanja n mkewe ndio anaishi usa.....au huyo basha wke wanafanana n medzio cz medzio ni mwembamba na mrefuI
Ilo njema ndio medzio uyo wa Eatv nasikia ali mu engage kabisa lst year washington with a very expensive diamond ring
Naunga mguu hojaushoga ulianzia uarabuni wazungu waliiga Tu,waarabu wachafu kwa kila kitu,na wanajificha sana
Waarabu ndio maana hata mafuta yanapatikana kwao kwa wingiushoga ulianzia uarabuni wazungu waliiga Tu,waarabu wachafu kwa kila kitu,na wanajificha sana