Pacome Aitwa timu ya Taifa ya Ivory Cost kwa Mara ya Pili

Yanga ilipoteza mechi dhidi ya Belouizdad kwa uzembe kama huu wa wachezaji kwenda timu ya taifa ikasababisha Diarra kushindwa kucheza mchezo kule Algeria. Naona jambo hili linajirudia tena na mbaya zaidi ni wachezaji wengi wameitwa ambao ndio first eleven ya Yanga. Bora hata timu ya Zambia wao wanacheza mapema tu tarehe 23. Ila kwa Pacome, Diarra, na Aziz Ki wao ni mpaka tarehe 26 ndio wanacheza. Hivyo tarehe 27 wanatakiwa waanze safari ya kurudi Tanzania, Je uongozi wa Yanga utakuwa wapo tayari kuwakodia ndege binafsi ili wawahi program ya mwisho ya kocha au ndio usafiri wa kuunga unga?
 
Daah Yanga tunaweza kushindwa kizembe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…