vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Sio wanaweza bali wameshaitwa. Diarra, Musonda na Azizi KiMbona hesabu hazikai sawa pale Yanga wakati tuna mechi muhimu?
Djigui Diarq na Azizi wanaweza kuitwa pia tukabaki kushangaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wanaweza bali wameshaitwa. Diarra, Musonda na Azizi KiMbona hesabu hazikai sawa pale Yanga wakati tuna mechi muhimu?
Djigui Diarq na Azizi wanaweza kuitwa pia tukabaki kushangaa?
Aisee?Sio wanaweza bali wameshaitwa. Diarra, Musonda na Azizi Ki
Yanga ilipoteza mechi dhidi ya Belouizdad kwa uzembe kama huu wa wachezaji kwenda timu ya taifa ikasababisha Diarra kushindwa kucheza mchezo kule Algeria. Naona jambo hili linajirudia tena na mbaya zaidi ni wachezaji wengi wameitwa ambao ndio first eleven ya Yanga. Bora hata timu ya Zambia wao wanacheza mapema tu tarehe 23. Ila kwa Pacome, Diarra, na Aziz Ki wao ni mpaka tarehe 26 ndio wanacheza. Hivyo tarehe 27 wanatakiwa waanze safari ya kurudi Tanzania, Je uongozi wa Yanga utakuwa wapo tayari kuwakodia ndege binafsi ili wawahi program ya mwisho ya kocha au ndio usafiri wa kuunga unga?Aisee?
Daah Yanga tunaweza kushindwa kizembe sana.Yanga ilipoteza mechi dhidi ya Belouizdad kwa uzembe kama huu wa wachezaji kwenda timu ya taifa ikasababisha Diarra kushindwa kucheza mchezo kule Algeria. Naona jambo hili linajirudia tena na mbaya zaidi ni wachezaji wengi wameitwa ambao ndio first eleven ya Yanga. Bora hata timu ya Zambia wao wanacheza mapema tu tarehe 23. Ila kwa Pacome, Diarra, na Aziz Ki wao ni mpaka tarehe 26 ndio wanacheza. Hivyo tarehe 27 wanatakiwa waanze safari ya kurudi Tanzania, Je uongozi wa Yanga utakuwa wapo tayari kuwakodia ndege binafsi ili wawahi program ya mwisho ya kocha au ndio usafiri wa kuunga unga?
Ngoja tuone pengine safari hii wamejipanga katika hiliDaah Yanga tunaweza kushindwa kizembe sana.