Pacome ameanza mazoezi Yanga na atajumuishwa kwenye msafara wa Mwanza

Pacome ameanza mazoezi Yanga na atajumuishwa kwenye msafara wa Mwanza

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Habari nilizonazo mpaka sasa afya ya Pacome imeimarika na atasafiri na kikosi kuelekea Mwanza. Lolote linaweza kutokea haswa mechi ya derby.

Yao Kwasi bado kuna uwezekano akaikosa mechi tatu zinazokuja.
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI" - DR LUC EYMAEL 2020
 
"Simba a.k.a kolowizard inanipa hasara"
Mwamwedi ♾️ year
 
Dah ila zile injury zilikuwa kiboko nadhani ma daktari wanahangaika usiku na mchana
Azam naomba tukutane nao pale Kwaraa Babati wataipende show
 
Dah ila zile injury zilikuwa kiboko nadhani ma daktari wanahangaika usiku na mchana
Azam naomba tukutane nao pale Kwaraa Babati wataipende show
Tutaanza na Feisal, halafu kuna yule sijui Zaid sijui yazid, tunamalizia na kipre
 
"Kwa uchezaji huu wa simba na yanga, hamtochukua kombe lolote Africa". Magufuli 1980
 
Tutaanza na Feisal, halafu kuna yule sijui Zaid sijui yazid, tunamalizia na kipre
Wametangaza vita kimsingi huu mwaka wataondoka bila hata medal final tucheze TU na Ihefu basi inatosha na bado itashine kama 16 na Dodoma uwanja ulitapika vipi final
Hawa ni kucheza mechi zao kuanzia sasa
 
Back
Top Bottom