Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Simba ipo kwenye mpito(transition) baada ya kufanya vibaya mfululizo mpaka kufungwa na mtani wake goli nyingi,iliamua kubadilisha kocha wake ambaye inabidi apewe mda wa kuleta mabadiliko,mabadiliko hayaji kwa usiku mmoja.Kinaniuma sana hiki lakini sisi mashabiki wa Simba tulivyo mambumbumbu tunawacheka Yanga wakati kwetu hali si hali.