Pacome ana goli nyingi kuliko timu nzima ya Simba

Kinaniuma sana hiki lakini sisi mashabiki wa Simba tulivyo mambumbumbu tunawacheka Yanga wakati kwetu hali si hali.
Simba ipo kwenye mpito(transition) baada ya kufanya vibaya mfululizo mpaka kufungwa na mtani wake goli nyingi,iliamua kubadilisha kocha wake ambaye inabidi apewe mda wa kuleta mabadiliko,mabadiliko hayaji kwa usiku mmoja.
 
Yanga imecheza mechi 9 za Caf champions league hajawahi kushinda hata mechi moja kati ya hizo vipigo vitano droo 4
 
Kwa mtu yeyote humu jukwaani ukiona unani quote, halafu sikujibu chochote! Basi jiongeze. Utakuwa kwenye ignore list yangu kitambo.

Mimi sina mazoea na mbwa wenye midomo michafu.
Una ignore lakini unasoma. Unajitia kidole halafu unanusa kisha unauliza ni harufu gani unasikia. Maumivu yako pale pale pimbi wewe
 
Na ikawa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…