Pacome asifananishwe na mlevi toka Ndola

Pacome asifananishwe na mlevi toka Ndola

Katika mechi ambayo Pacome alipata heshima yangu ni ile ya makundi hapa uwanja wa nyumbani Vs Ahly alipofunga lile goli la kusawazisha.

Peke yake, wakati timu nzima imeshaloa yeye akasimama. Katikati ya msitu wa mabeki wa timu bora kabisa ya Afrika Ahly, akafunga.
Nilifurahi sana.
Hakika, ila katika mechi kama hizo, mlevi toka ndola hutomuona, mara nyingi huwa anageuka mzururaji na komwe lake kama dumu la korie
 
Baada ya mchezo wa mbumbumbu fc na jwaneng galaxy ya Botswana mashabiki wengi wa Mbumbumbu waliibuka na kuanza kujifariji kwa kumfananisha mchawi na mwendawazimu wa kabumbu kutoka Yanga Afrika "Pacome Zouzou" na mchezaji wao mlevi toka Ndola Zambia "Chama Clatous"

Kwa tathimini fupi tu ya mchezo wa Leo baina ya kolozidad na Tanzania prisons, mtakuwa mmeona tofauti ya mchawi wa kabumbu pacome na mlevi toka ndala "chama" kiuchezaji, chama anahitaji wide space, easy marking toka kwa wapinzani bila kusahau anahitaji timu nzima iwe kwenye kiwango bora ili yeye aonyeshe uwezo wake, kitu ambacho ni kinyume na Pacome Zouzou ambaye katika mechi ngumu, zenye narrow spaces na man to man marking ndipo huibeba timu yote peke yake.

Kwa kifupi performance ya Chama inategemea flow ya timu nzima, ni mchezaji wa mechi nyepesi, mechi ambazo wapinzani wataachia mianya mingi, ila baller Pacome hajali timu iko katika kiwango gani siku husika nyie mpeni gozi la ng'ombe kisha kaeni pembeni mumuone anavyoinasua timu toka katika nyakati ngumu.

Vivaa Pacome!
🤣🤣
 
Back
Top Bottom